Draft halina aina za michezo inayozidi mitano sababu kete zote zinaenda kwa hatua moja diagonally.
Chess ndio mchezo mtamu sababu kila kete inaenda kivyake na linaitaji akili nyingi hata mara 60 ya akili ya kucheza.
Chess unafanya kazi ya kumlinda King wako asikamatwe.
Na huu ndio uzuri wa chess,hata kama umeliwa kete moja tu King akikamatwa(akiliwa) mchezo ushafungwa.checkmate!
King wako analindwa na walinzi(kete) wasiopungua 6,zikiwemo
1.Queen
Hii inatembea pande yeyote ile ya uwanja,lakini haiwezi kuruka chumba chenye kete.
2.Knight
Huyu sura ya kichwa cha farasi.Anatembea kwam mfumo wa herufi L.Anaweza kuruka kete nyingine.
3.Bishop
Anatembea diagonally tu na haruki kete ingine
4.Castle
Huyu anaenda kokote ila sio diagonally na haruki kete
5.Pawn
Hizi ni kete zenye dhamani ndogo kuliko zote.zinambea hatua moja tu mbele na hula digonally.Lakini akifanikiwa akavuka kufika mstari wa kwanza ambao King anapangwa(ukiingiza king) unaongeza moja ya kete nilizotaja hapo juu,wengi huingiza Queen sababu ndio the most powerful kete.
Hizi kete zote zinakua katika pair,kutoa King tu ni moja.Zinapangwa katika mistari mwili ya nyuma.