Huu mtindo unacheza peke yako???kete tatu ni michezo sits tayari ukiongeza miwili ni 8 mpinzani hachezi???unapeleka kete tatu za mstari mkuu (ikweta)...then unarudia mbili mkono wa kulia .....ukimaliza kabla hajaanza mashambulizi unaweza ukaanza wewe na kete mbele kati ya tatu za ikweta .....enjoy ....
Umehesabu vibaya 3+2=5....halafu kumbuka kwa hizo kete kama anatumia mfumo wa pembeni ni chache sana kuna wakati mnaweza sukuma kete hadi inafika wakati kila kete unayosukuma unapigwa double au triple ...jitahidi kufanya mazoezi na mifumo tofauti tofauti. ...Huu mtindo unacheza peke yako???kete tatu ni michezo sits tayari ukiongeza miwili ni 8 mpinzani hachezi???
Mkumbushe ajitahid kucontrol hasira maana anaweza rusha ngumi pindi akifungwa na mpinzani wake akiwa anatoa maneno ya kejelini mchezo mzuri sana na ninaupenda sana kuweza kuwa na kiwango cha kati unahitaji practice zaidi nikiwa na maana anza kucheza na wale unaolingana nao kiwango ambapo itakuchukua hata mwaka kuimprove baada ya hapo tafuta kijiwe kingine wanaokuzidi uwezo upambane nao nadhani itasaidia sana kujua zaidi.
Nb. kumbuka huu mchezo unahitaji kufanya mazoezi zaidi ya kuucheza kuliko kuelekezwa kinadharia
Uwe na uwezo wa kuiteka akili ya mpinzani wako. uwe na uwezo wa kufikiria at least mpaka mchezo wa tatu mbele. Ukiwa na uwezo huo ninaweza kucheza na wewe lakini British. Added advantage uwe na maneno ya nyondo kufurahisha watazamaji na kumdhoofisha mpinzani wako mentally.
Silaha kubwa ni domo chafu... km sio mropokaji hauwezi kushinda.... silaha ya pili ni akili.. km akili zako km mange kimambi au gigy money hauwez ucheza huu mchezo... tatu asili usitegemee umetoka moshi uko afu uwe fundi wa draft huu sio mchezo wa ukubwani aisee....
Kuna siku Edo kumwembe alikuja kijiwe chetu,kuna mzee anatembea nae kazi yake ni kuongea tu maneno ya kuudhi uku edo anachezahapo kwenye added advantage watu wanarusha ngumi
Wizi upo ni mbinu ya mchezo, anajifanya kakosea kula kete anavyorudisha ndio anapokuibia umakini unahitajika sanamabingwa wa draft ukicheza nao ukawabana saana ni wezi sana wa step ni wajanja saanaa ..utashangaa tu anatoa sare..ni mchezo unahitaji umakini sana
Yapo mengi, search "checkers"Inahitajika umakini tu.. hivi hili gemu la draft kwenye play (google) store lipo
Lazima ujue michezo ifuatayo:-Habari zenu wana jf wote
Hv unapokuwa unacheza mchezo wa draft inafaa kuzingatia vitu gani ili uweze kuziteka vizuri kete za mwenzako
Draft ni mchezo wa akili tu. Kuna formula (copy)nyingi tu. "Mguu wa jini, kilosa, five ball, kingi fala, na mingine. Mtu akikuwekea copy ya fiveball tayari yeye ana sare wewe utafute. Mguu wa jini ukiuingia hutoki. Kilosa huu mimi ndio naukubali, ni full msuli. Ukiuangalia unaona kila mtu ana nafasi ya kushinda. Ila mara nyingi aliyeanxa kucheza anashinda.Silaha kubwa ni domo chafu... km sio mropokaji hauwezi kushinda.... silaha ya pili ni akili.. km akili zako km mange kimambi au gigy money hauwez ucheza huu mchezo... tatu asili usitegemee umetoka moshi uko afu uwe fundi wa draft huu sio mchezo wa ukubwani aisee....
Duuuh ni noma sana, kujua draft Kuna uhusiano gani na kuwa mchafuDraft ni mchezo wa akili tu. Kuna formula (copy)nyingi tu. "Mguu wa jini, kilosa, five ball, kingi fala, na mingine. Mtu akikuwekea copy ya fiveball tayari yeye ana sare wewe utafute. Mguu wa jini ukiuingia hutoki. Kilosa huu mimi ndio naukubali, ni full msuli. Ukiuangalia unaona kila mtu ana nafasi ya kushinda. Ila mara nyingi aliyeanxa kucheza anashinda.
Hawa ndio mabingwa wa Tanzania.
1. Mangwelele. Huyu anapatikana buguruni.
2. Juma mchafu huyu hana kijiwe maalumu. Yeye kacheza draft dsm nzima kila kijiwe.
3. Ronaldo huyu yupo sinza nadhani palestina. Ni sheeder.
4. Godziller huyu maskani yake ifakara. Ila yeye anatembea mikoani. Hii ni kazi yake na inamwingizia kipato.
Note
Ili ijue draft ukubali mambo mawili.
1. Uwe mchafu kwa maana unashinda vijiwe vya draft huna muda wa kufua na kuoga.
2. Ukonde. Maana huna muda wa kula. Muda wooote unagonga kete tu.
Ref. Juma mchafu niliyemtaja hapo juu, jina lake ni juma. mchafu ni nick name yake. Na ni kweli ni mchafu. Hafui wala haogi.
yap ila wapinzani ni wepesi pasipo maelezo.. binafsi nimeshafuta yote . labda mwenye kufahamu games ngumu atupe linkGoogle imewaharibu sana aisee