Saivi kuna dogo ni sheeda anaitwa DOGO YASINI na mwingine ni mwanafunzi wa MANGWELELE anaitwa MAMBA ,hawa wameshindikana.Kina BEDUI wameisha ,kina NOEL bado wanajua jua.Kuna dogo wakuitwa MGAPE nae ni mwizi mwiz aisee,kaja kijiweni kasema tufungane kumbe yeye fundi ilitakiwa atupe sare mbili.Badface nae yupo nondo
Juma mchafu kafa mwaka jana.Alikuwa noma kwa miguu ya pembeni huyu.Ila habari ya mjini ni MAMBA (hapa RONALDO KAFA 1 BILA)
Ukitaka kuwafaidi hao nenda KINONDONI MKWAJUNI au TANDIKA Mwembe Yanga.