akili akili
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,767
- 1,155
Mkuu vumilia tu, kama imo imo tu, hata kwenye taasisi binafsi kunakuwaga na interview zaidi 3. So usiwe na dhana kwamba "second written interview" imelenga kuchomeka wasiohusika.
Wakuu,
Nianze kwa kutoa pongezi kwa watoto wa wakulima na wafugaji kwa kuwagaragaza sana watoto wa vibopa katika written interview iliyofanyika IFM mwaka jana mwishoni na hicho ndicho kilichopelekea second written interview.
Second written interview inayokwenda kufanyika jumamosi hii IFM pamoja na DUCE ni njia ya wazi ya kutaka kufanikisha adhma chafu wa vigogo wa NSSF ambao wana watu wao.
Katika written interview ya kwanza NSSF walitakiwa kuchukua vijana wachache waliofaulu kwa marks za juu ili wafanye oral interview lakini kwa bahati mbaya watoto wengi wa vigogo walianguka sana kwenye ile interview sijajua tatizo ilikuwa ni hesabu au ni nini.
Kwa mantiki watoto wa vigogo ambao walitakiwa waingie oral interview na hatimae wapate kazi hawakufikia vigezo ndipo ukabuniwa mchezo mpya nchini Tanzania "second written interview" ambao interview hiyo imelenga kuwanyanyua watoto vigogo ili waweze kuingia katika oral interview na wakifika oral tu nyie watoto wa wakulima na wafugaji inakula kwenu.
Kiufupi, hiyo interview mpya ya kuandika ni ubunifu wa kuwapeleka ofisini watoto WAO.
Kila la kheri katika interview yenu.
mkuu kama hilo ndio lilikuwa lengo,wangepewa maswali na majibu kwenye first written interview:wewe unatakiwa upate majibu kwann kuna second written interview,then ukishapata majibu tena ambayo ni official ndio useme unavyotaka kusema;lkn usiseme na ukaaminisha watu kwa mambo ambayo naweza nikasema ni kama ya kusadikika.
second written test tayari ifm wameshamaliza marking. Mzigo umerudishwa nssf. Tusubirie majibu kama siyo leo, kesho au sasa hivi.
Hiyo ndiyo update wadau.
Any update wadau
Watu walipiga oral interview tarehe 17/1/2015!
Hope wanasubilia kuitwa kazini tu!
Acha uongo...