Mchezo unaotaka kufanyika NSSF huu hapa

Mchezo unaotaka kufanyika NSSF huu hapa

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Wakuu,

Nianze kwa kutoa pongezi kwa watoto wa wakulima na wafugaji kwa kuwagaragaza sana watoto wa vibopa katika written interview iliyofanyika IFM mwaka jana mwishoni na hicho ndicho kilichopelekea second written interview.

Second written interview inayokwenda kufanyika jumamosi hii IFM pamoja na DUCE ni njia ya wazi ya kutaka kufanikisha adhma chafu wa vigogo wa NSSF ambao wana watu wao.

Katika written interview ya kwanza NSSF walitakiwa kuchukua vijana wachache waliofaulu kwa marks za juu ili wafanye oral interview lakini kwa bahati mbaya watoto wengi wa vigogo walianguka sana kwenye ile interview sijajua tatizo ilikuwa ni hesabu au ni nini.

Kwa mantiki watoto wa vigogo ambao walitakiwa waingie oral interview na hatimae wapate kazi hawakufikia vigezo ndipo ukabuniwa mchezo mpya nchini Tanzania "second written interview" ambao interview hiyo imelenga kuwanyanyua watoto vigogo ili waweze kuingia katika oral interview na wakifika oral tu nyie watoto wa wakulima na wafugaji inakula kwenu.

Kiufupi, hiyo interview mpya ya kuandika ni ubunifu wa kuwapeleka ofisini watoto WAO.

Kila la kheri katika interview yenu.
 
Mmmh ngoja tuckie na wengine, maana kila mtu atakuwa na mawazo yake hapa.
 
Acheni fitina za ajabu...kama ni watoto wa vigogo ilishindikana vipi kupewa matokeo yaliyo mazuri...au ilishindikana vp kupewa dessa...tatizo tulilo nalo ni kupandikiza chuki tukijidai ukombozi waja. Acheni porojo...wenyew pia wana haki ya kupata ajira. Mbona hamlalamiki watoto wa madaktari kuwa madaktari.
 
Kwa hyo wameita tena wote au wamechuja maana idadi bado inaonekana kubwa! !
 
huwezi kutoa tamko wakati huu coz watu bado wanaendelea kupigiwa simu..kwahivo tusubiri mpaka ijumaa au jmosi
 
Haya sasa tujadili tunafanyaje maandalizi kuhusu hii second written interview. .kazi kweli kweli. .
 
Acheni fitina za ajabu...kama ni watoto wa vigogo ilishindikana vipi kupewa matokeo yaliyo mazuri...au ilishindikana vp kupewa dessa...tatizo tulilo nalo ni kupandikiza chuki tukijidai ukombozi waja. Acheni porojo...wenyew pia wana haki ya kupata ajira. Mbona hamlalamiki watoto wa madaktari kuwa madaktari.

Usiwe na haraka! Si watatangazwa waliochaguliwa! Tutakuja kujua kama ni watoto wa Vigogo au lah! Na ukitumia za kwako na za Mbayuwayu jibu itajulikana.
 
Wakuu,

Nianze kwa kutoa pongezi kwa watoto wa wakulima na wafugaji kwa kuwagaragaza sana watoto wa vibopa katika written interview iliyofanyika IFM mwaka jana mwishoni na hicho ndicho kilichopelekea second written interview.

Second written interview inayokwenda kufanyika jumamosi hii IFM pamoja na DUCE ni njia ya wazi ya kutaka kufanikisha adhma chafu wa vigogo wa NSSF ambao wana watu wao.

Katika written interview ya kwanza NSSF walitakiwa kuchukua vijana wachache waliofaulu kwa marks za juu ili wafanye oral interview lakini kwa bahati mbaya watoto wengi wa vigogo walianguka sana kwenye ile interview sijajua tatizo ilikuwa ni hesabu au ni nini.

Kwa mantiki watoto wa vigogo ambao walitakiwa waingie oral interview na hatimae wapate kazi hawakufikia vigezo ndipo ukabuniwa mchezo mpya nchini Tanzania "second written interview" ambao interview hiyo imelenga kuwanyanyua watoto vigogo ili waweze kuingia katika oral interview na wakifika oral tu nyie watoto wa wakulima na wafugaji inakula kwenu.

Kiufupi, hiyo interview mpya ya kuandika ni ubunifu wa kuwapeleka ofisini watoto WAO.

Kila la kheri katika interview yenu.
hakuna kazi kwa maskini tanzania
 
Duuuuuuuuuh.....hii inahitaj bless za maulana sana hapa ila mtoto wa maskini lazma tupenye mbele ya hao vigogo.
 
Kiufupi kila mtu alieudhuria interview ya kwanza ameitwa kwenye usahili wa pili swali la kujiuliza hata kama hii ni system yao ya kufanya written mbili ila inavyokua idadi inatakiwa ipungue katika ya pili lakini cha ajabu idadi ni ile ile ina maana mara ya kwanza ilikua kazi bure kufanya pepa na wanaotoka mikoani je si ni gharama hizi zisizo na maana
 
Acheni fitina za ajabu...kama ni watoto wa vigogo ilishindikana vipi kupewa matokeo yaliyo mazuri...au ilishindikana vp kupewa dessa...tatizo tulilo nalo ni kupandikiza chuki tukijidai ukombozi waja. Acheni porojo...wenyew pia wana haki ya kupata ajira. Mbona hamlalamiki watoto wa madaktari kuwa madaktari.

yaaani we jamaa kila kitu we unabishaga tu.
 
Kiufupi kila mtu alieudhuria interview ya kwanza ameitwa kwenye usahili wa pili swali la kujiuliza hata kama hii ni system yao ya kufanya written mbili ila inavyokua idadi inatakiwa ipungue katika ya pili lakini cha ajabu idadi ni ile ile ina maana mara ya kwanza ilikua kazi bure kufanya pepa na wanaotoka mikoani je si ni gharama hizi zisizo na maana

IQ yako ni 75% keep it up kwa kuongeza zaidi uwezo wa kufikiria.

by
bampami
 
Last edited by a moderator:
Mtu katoka mtwara halafu kumbe hawajachuja hata kidogo dhambi kubwa sana.
 
Hivi kumbe watoto wa vigogo hawastahili.ajira nchi hii hata wakiwa na sifa stahiki
 
vigogo wenyew unadhani vigogo basi tu kuchafuana...ukute una ndugu nssf eti inakuwa shida kupata kibarua...kisa majina yanafanana.
 
yaaani we jamaa kila kitu we unabishaga tu.
dah...mkuu,
umenifanya kucheka...nini kingine nimebisha?
nachoogopa tusipandikize chuki kwa watoto...mwenye nacho ataongezewa kumbuka...binafsi ka ww ni mzazi lazima utaitaj mwanao kupata kilicho bora kwa uwezo wako.
 
Jamii forum ni sehemu ambayo tunategemea kupata mawazo ya kisomi zaidi, kukaa mtu ukaota bila kulala na kuleta info za kwako hakuna maana. Sio lazima uchangie mada unaweza kuwa msomaji tu ukaangalia wenzio wanajadili nini, tukomae maana dalili za jforum kuwa kama face book zinaonekana at least tuwe sure na info tunazo post kwenye forum. Habari ya NSSF itajadiliwa sana mwisho wa siku watu wataajiriwa ila hakuna maana kukaa na kuzusha mambo yasio na msingi................asubuhi ilikuwa ishu ya udini sa hv jion watu mmeamia kwa vigoo, em tujitambue we kama nafasi siyo yako hata ukeshe wapi unapoteza mda lakini kama ipo ipo tu .
 
Wakuu,

Nianze kwa kutoa pongezi kwa watoto wa wakulima na wafugaji kwa kuwagaragaza sana watoto wa vibopa katika written interview iliyofanyika IFM mwaka jana mwishoni na hicho ndicho kilichopelekea second written interview.

Second written interview inayokwenda kufanyika jumamosi hii IFM pamoja na DUCE ni njia ya wazi ya kutaka kufanikisha adhma chafu wa vigogo wa NSSF ambao wana watu wao.

Katika written interview ya kwanza NSSF walitakiwa kuchukua vijana wachache waliofaulu kwa marks za juu ili wafanye oral interview lakini kwa bahati mbaya watoto wengi wa vigogo walianguka sana kwenye ile interview sijajua tatizo ilikuwa ni hesabu au ni nini.

Kwa mantiki watoto wa vigogo ambao walitakiwa waingie oral interview na hatimae wapate kazi hawakufikia vigezo ndipo ukabuniwa mchezo mpya nchini Tanzania "second written interview" ambao interview hiyo imelenga kuwanyanyua watoto vigogo ili waweze kuingia katika oral interview na wakifika oral tu nyie watoto wa wakulima na wafugaji inakula kwenu.

Kiufupi, hiyo interview mpya ya kuandika ni ubunifu wa kuwapeleka ofisini watoto WAO.

Kila la kheri katika interview yenu.

Hapa ndo huwa nashindwa kuwaelewa hawa madogo wasaka kaazi wa siku hizi wasiojiamini.... Mkiishi kwa kuamini kila kitu kwamba atapata mtoto wa kigogo NI UJINGA MTUPU. Na sijui shule inawasaidia nini...

Ngoja nikuulize maswali mawili tu, halafu jijibu.

1. Naamini kwenye interview walikuwepo vijana wengi, na naamini sio wote ulisoma nao au unawajua, sasa umejuaje kwamba watoto wa vigogo waliangukia pua na nyinyi watoto wa magogo au miti kamili mlifaulu??

2. Umejuaje kwamba fulani ni mtoto wa hicho kigogo na mwingine ni mtoto wa mti?? Uliwauliza wote??

Acheni habari zenu za kulalama majukwaaani.... Jiamini katika usaili.. Hata mimi baba na mama yangu ni wafanyakazi wa kada ya mwisho serikalini hawana hela na hawamjui yeyote, lakini nimefanya interview na kufaulu zaidi ya sehemu tatu sensitive hapa nchini (makampuni yanayolipa zaidi hapa nchini) bila kuhonga hata shilingi.. Na interview moja unakuta wameomba watu hadi elfu moja.. Lakini tunafanya saili za kutosha na tunashinda..

Yaani ulichoandika hapa ni sawa na vile ulivyokimbia panya road na kujificha uvunguni mwa bajaji... Vijana wa kiume wa Dar bana..
 
Back
Top Bottom