Mchezo mzima wa polisi na kifo cha ndugu zetu wa sinza;tunaitaji changes jeshi la polisi

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
57,566
32,033
Marehemu kweli wamekufa kwa kupigwa risasi...lakini ni wahusika wakubwa wa kuuza pembe za ndovu wakishirikiana na mapolisi,..wamekuwa wakiwasaidia sana hata usafirishaji

nafikiri kova fatilia sana pia uhusiano wao wa kuwalinda hawa wahalifu hujui uko kwako wamebaki wangapi
 
Mkuu Raimundo ukiamka njoo umsome mpwa wako huku..

Naona kaanza zile mada zake za kiuchunguzi za mapolisi teh teh
 
Last edited by a moderator:
Magufuli ni wakati Kwa kulifumua Jeshi la polis lisukwe upya wale makamanda wote waliokaa sehemu moja Kwa Kipindi kirefu wahamishwe pia makao makuu ya Jeshi la polis paweke kisasa paendane na wakati .
 
Mkuu Raimundo ukiamka njoo umsome mpwa wako huku..

Naona kaanza zile mada zake za kiuchunguzi za mapolisi teh teh

Halafu siku hizi anakuja kwa nadra sana..

Taarifa za mpwa huhitaji hata kuuliza sosi maana ni kweli tupu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom