Captain mopao
Senior Member
- Feb 25, 2021
- 133
- 379
Nadhani itakua hivoMfanyakazi wa UN na analipwa mil 2?
Ina maana mishahara ya UN sivyo ambavyo watu tunafikiria ni minono kupindukia
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee huu usanii sijui unazibitikaje hawa watu wana umiza sanaMimi ilinitokea, nilipekeka 300,000/= kwenye a/c yangu, iligongwa mihuri yote na sahihi ya mpokeaji( huyo dada namfahamu kwa sura, kwa kua nina mazoea ya kwenda hiyo bank. Cha ajabu siku nakwenda ku withdraw pesaATM inanimbi insufficient fund, nikaangalia bal nikakuta wameniwekea 30,000/ nilifuatilia kwa branch manager, yule dada aliitwa (aliyezipokea) nikaambiwa baada ya nusu saa niangalie bal nitakuta imerekebishwa, na kweli ikawa hivyo. Wizi upo sana kwenye bank
Inategemea na post aliyokuwa nayo hapo UN, kama alikuwa dereva je?Mfanyakazi wa UN na analipwa mil 2?
Ina maana mishahara ya UN sivyo ambavyo watu tunafikiria ni minono kupindukia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nilikutana nayo nilikuwa Kila nikipeleka pesa Bank naandika na slip natunza kwenye faili Sasa nikapiga hasabu nikataka Sasa nikadraw kiasi kingi nafika bank wananiambia salio halitoshi ,nikawaambia Basi tusitishe ,nikarudi ofisini nikachukua silp zote na kitabu kwenda moja kwa moja kwa branch manager tukapiga naye hesabuMimi ilinitokea, nilipekeka 300,000/= kwenye a/c yangu, iligongwa mihuri yote na sahihi ya mpokeaji( huyo dada namfahamu kwa sura, kwa kua nina mazoea ya kwenda hiyo bank. Cha ajabu siku nakwenda ku withdraw pesaATM inanimbi insufficient fund, nikaangalia bal nikakuta wameniwekea 30,000/ nilifuatilia kwa branch manager, yule dada aliitwa (aliyezipokea) nikaambiwa baada ya nusu saa niangalie bal nitakuta imerekebishwa, na kweli ikawa hivyo. Wizi upo sana kwenye bank
Bank wahuni sana. Mwaka jana mwanzoni nilienda kuweka 1.3M kwenye account yangu ya NMB. Tukahesabu fresh, then baada ya kumaliza nikasepa.Hii nilikutana nayo nilikuwa Kila nikipeleka pesa Bank naandika na slip natunza kwenye faili Sasa nikapiga hasabu nikataka Sasa nikadraw kiasi kingi nafika bank wananiambia salio halitoshi ,nikawaambia Basi tusitishe ,nikarudi ofisini nikachukua silp zote na kitabu kwenda moja kwa moja kwa branch manager tukapiga naye hesabu
Du Aisee ulikomaa mzee sasa sijui huyo maza asingemshtua ingekuajeBank wahuni sana. Mwaka jana mwanzoni nilienda kuweka 1.3M kwenye account yangu ya NMB. Tukahesabu fresh, then baada ya kumaliza nikasepa.
Baadae yule teller wakati anafunga mahesabu, akawa inapelea laki 1. Kila akijaribu kuangalia ile loss inatokea wapi, hapati jibu. Mwisho wa siku akapitisha wazo kuwa mimi hela niliyopeleka ilikuwa 1.2M na sio 1.3M. Akajaribu kunipigia simu, sikuwa hewani. Kwavile alikuwa anataka kufunga hesabu, akaandika slip mpya, inayoonesha nimeweka 1.2M then akafoji sahihi yangu. Kwakifupi akatoa laki moja kwenye account yangu.
Nilipopata ujumbe baada ya kuwasha simu kuwa alinitafuta , ikabidi kesho yake mapema niende.Kufika pale ananipa slip aliyojaza yeye akisema tulikosea kuhesabu. Nikamwambia labda ukosee wewe, zile hela nilihesabu kabla sijatoka home. Tukabishana sana hadi kwenda kwa Manager. Yule teller anakomaa kuwa hata kwenye camera zimeonesha kuwa mimi na yeye tulikosea kuhesabu. Vutana sana pale, baadae kuna mmama mmoja nae ni mfanyakazi pale ndio akamuita ndani. Yule mama akamuonesha kosa lilipotokea, kumbe baada ya mimi kuondoka, kuna mtu alikuja na kutoa elfu 50, ila yeye akamuandakia kaweka elfu 50, it means loss ikajidouble.
Baada ya hapo jamaa akaniomba sana msamaha, mpaka natoka getini jamaa yupo ananiomba msamaha tu. Siku hiyo ndio nikajua kumbe bank inaweza kutoa hela kwenye account yako na usiletewe ujumbe.
Wezi sana.
Kiufupi jamaa wahuni sanaDuu
Du Aisee ulikomaa mzee sasa sijui huyo maza asingemshtua ingekuaje
Mkuu si unapotezea tu kwani na wewe huibi katika nafasi yako? Huko ofisini hupigi panga? Kila mtu bongo ni mwizi katika nafasi yake. Ukiibiwa potezea tu. Cha kufariji huyo aliyekuubia naye atalizwa na aliyemliza naye atalizwa karma ipo kwa iyo usijali songa mbeleBank wahuni sana. Mwaka jana mwanzoni nilienda kuweka 1.3M kwenye account yangu ya NMB. Tukahesabu fresh, then baada ya kumaliza nikasepa.