Mchezo haujauelewa

Mchezo haujauelewa

Mdigokhan

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2022
Posts
990
Reaction score
2,316
Ukija kichwa kichwa, utaona team ya wasanii kama hawajui kucheza mpira, kama hawaelewani, wanapishana, ila bado inabaki kuwa team moja. Wana mbinu nyingi za kushinda hii game.

Moja ya mbinu yao ni katikati ya mchezo wanacheza chenga na madoido maana lengo lao sio kushinda tu hii game yao, bali pia wapinzani wasahau kuhusu LIGI KUU

Wapo kazini.

Gen Z wameletewa propaganda, ime-tick, na mdogo mdogo nikiangalia nadhani wasanii wanazidi kuikamata hii mechi kimasihara.

Kwasasa, ubao ni 1-2 wasanii wamechomoa, na soon wasanii wanarudi kwenye mchezo rasmi.

Majizo kapiga bonge moja la assist ⚽️.

Mashambulizi yao sio ya kustukiza ni mipango kuanzia golini.

Mond anatokea sub Kocha akaona aongeze mashambulizi zaidi.

Marioo, naona, anapewa maelezo pale nini cha kufanya..

Acha tuone gen z kama wata change gia angani huwa nawaamini kwenye mshambulizi ya kustukiza
 
Mziki ni haram hatutaki wasanii, na pia mtu yoyote anaepanga maandamano haram ya uhalifu na uharibu wa mali atashughulikiwa bila huruma ukileta unyumbu wa kihalifu kuiba na kuharibu mali za watu utakutana na risasi hakuna huruma kwa wahalifu.

Tunataka hii nchi tuiweke kwenye mstari watu waache umbea, waache mziki, waache uhalifu kila mtu apige kazi .
 
Nchi ngumu hiii 🤣🤣🤣🤣 kama kuna kuzaliwa upya yarabi naomba nisizaliwe kwa vilaza!
Gen z washaachia! Kama mtu hutaki kumfatilia kwenye page yake unaenda kucomment ili iweje? Tuliposhindwa kuwaunfollow kwenye mitandao ya kijamii ndipo walipotudharau.
 
Mziki ni haram hatutaki wasanii, na pia mtu yoyote anaepanga maandamano haram ya uhalifu na uharibu wa mali atashughulikiwa bila huruma ukileta unyumbu wa kihalifu kuiba na kuharibu mali za watu utakutana na risasi hakuna huruma kwa wahalifu.

Tunataka hii nchi tuiweke kwenye mstari watu waache umbea, waache mziki, waache uhalifu kila mtu apige kazi .
Mhalifu hawezi kuzuia uhalifu!!
 
Ila nasikia Samia anapenda muziki wa taarabu.
 
Kwahiyo wasanii wanarudishaje harakati za kuiondoa CCM?

Ni vizuri tukaacha mihemko MTU Kama shilole Ambaye aliwahi kusema kaishia darasa 03 na harmonize lasaba .

Watu Kama hawa wanawezaje kuwa na sauti na wakasikilizwa na watu wenye akili zao timamu.

Wasanii wana influence Ila bado haitoshi kumshawishi MTU mambo ya msingi Kama ustawi wa Taifa lake n.k

Mambo Kama Follow , un follow yanasaidia nn

Kama anavyosema Robert Greene don't offend the wrong enemy

Wao wanatumika na CCM kwahiyo haijalishi wanaspoti CCM Ila kuwachukia wasanii ni aina ya ujinga .

Ni sawa na hawa security Agency .

Ikiwa Adui yako unamjua kwanini usimfate yeye.

Kuna wakati nasikia watu wansema mbona wasanii hawaongei

Yaani hawa wasanii wetu wanauwezo wakuongelea siasa wanautaaalamu huo kweli.

Wakazi , Roma hawa ni educated na wanauwezo wa Ku-grab knowledge kwa haraka .

Hata wakiongea ni sahihi kabisa
 
Nilipochoka nikuona wanaharakati wanaosema unfollow wasanii wao wanawafollow🙆
Hahaha kama wanafanya hivyo basi malofa kweli kweli...
Wengine tunawatia moyo kumbe hawajitambui...kazi kwao sisi wengine tupo fainali....mazezeta wakubwa...
 
Huyu ndiyo asithubutu hata kutoa pua nje ama kufungua kinywa. Ataharibu mbaya!
Katoka hapa ila kwa code ya kijembe cha ngoma ya mabovu.
 
Attachments

  • ScreenRecording_12-11-2025 16-57-05_1.mov
    7.1 MB
Kwahiyo wasanii wanarudishaje harakati za kuiondoa CCM?

Ni vizuri tukaacha mihemko MTU Kama shilole Ambaye aliwahi kusema kaishia darasa 03 na harmonize lasaba .

Watu Kama hawa wanawezaje kuwa na sauti na wakasikilizwa na watu wenye akili zao timamu.

Wasanii wana influence Ila bado haitoshi kumshawishi MTU mambo ya msingi Kama ustawi wa Taifa lake n.k

Mambo Kama Follow , un follow yanasaidia nn

Kama anavyosema Robert Greene don't offend the wrong enemy

Wao wanatumika na CCM kwahiyo haijalishi wanaspoti CCM Ila kuwachukia wasanii ni aina ya ujinga .

Ni sawa na hawa security Agency .

Ikiwa Adui yako unamjua kwanini usimfate yeye.

Kuna wakati nasikia watu wansema mbona wasanii hawaongei

Yaani hawa wasanii wetu wanauwezo wakuongelea siasa wanautaaalamu huo kweli.

Wakazi , Roma hawa ni educated na wanauwezo wa Ku-grab knowledge kwa haraka .

Hata wakiongea ni sahihi kabisa
😂😂
 
MTU anataka shilole darasa La 03 kuongelea na kuchambua siasa kidding

Nyerere alisema MTU kipofu akifanya mambo Kama kipofu hiyo haina shida Ila mwenye macho akifanya Kama kipofu kuna shida

Kitabu cha Jifikirie by Nyerere.
 
Back
Top Bottom