Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,198
- 3,566
Wataje wakamatwe!Mbona wanaovuta bangi wapo wengi tu.
Polisi wakamate wanauza na kulima bangi ndio chanzo kikuu.
Wataje wakamatwe!
Morrison kawashika matakoni Yanga mpaka kachoka naona kahamia kwenye mamlaka zingine.Mchezaji Mtukutu wa Yanga bin Utopolo Bernard Morison amekamatwa hivi punde baada ya kufukuzana na Polisi ambao walihisi kuwa huenda anatumia madawa ya kulevya. Baada ya kufukuzana Polisi walifanikiwa kumkamata Kituo cha Mafuta Engine pale Mikocheni. Baada ya kukamatwa Morison aliwagomea Polisi na kuwaletea Kiburi. Polisi walipomkamata walikuta Gari ikiwa imetapakaa Moshi wa BANGI. Polisi walimtuliza kidogo kwa medani ambazo huwa wanazitumia kwa wahalifu na kumpa vibao kadhaa kumuweka sawa ndipo alipokiri na sasa yupo Kituo cha Polisi Oysterbay. Si jambo zuri kwa hawa wageni kudharau Mamlaka za Nchini kwetu hususan JESHI LETU LA POLISI
Taarifa za zaidi zitawajia juu ya Sakata hili la utumiaji wa madawa ya kulevya Hadharani
Bangi hiyo inatajwa kuwa ni ya kutoka Bukoba.View attachment 1521677
Sikiliza Mr Staple, makosa afanye mtu binafsi wewe unahiusishaje klabu, lakini ni vema pia klabu ikawa na utaratibu wa kudhibithi mambo kama haya kwa klabu, matumizi ya madawa ni tatizo kwa michezo yote dunianiUtopolo wanatuaibisha Sana,!!
Mchezaji Mtukutu wa Yanga bin Utopolo Bernard Morison amekamatwa hivi punde baada ya kufukuzana na Polisi ambao walihisi kuwa huenda anatumia madawa ya kulevya. Baada ya kufukuzana Polisi walifanikiwa kumkamata Kituo cha Mafuta Engine pale Mikocheni. Baada ya kukamatwa Morison aliwagomea Polisi na kuwaletea Kiburi. Polisi walipomkamata walikuta Gari ikiwa imetapakaa Moshi wa BANGI. Polisi walimtuliza kidogo kwa medani ambazo huwa wanazitumia kwa wahalifu na kumpa vibao kadhaa kumuweka sawa ndipo alipokiri na sasa yupo Kituo cha Polisi Oysterbay. Si jambo zuri kwa hawa wageni kudharau Mamlaka za Nchini kwetu hususan JESHI LETU LA POLISI
Taarifa za zaidi zitawajia juu ya Sakata hili la utumiaji wa madawa ya kulevya Hadharani
Bangi hiyo inatajwa kuwa ni ya kutoka Bukoba.View attachment 1521677
Usalama wa nchi yetu uko mikononi mwetu sote!Intelejensia ya polisi inafanya kazi gani? Waingie field kusaka hao watu.
Unataka niwataje mm wakati wao wapo wana resources zote na wanalipwa mishahara how come?
Hata huko kwenu matopeni kulikua na akina Bobni, Nyotho na wengine wengi sana niwaache, juzi tu hapo Wawa na Okwi walitoroka kambini usiku na Uchebe akanyweaUtopolo mfanye mambo professionally kwenye vetting na usajili, kwa Morrison na yule Lucia wake mmetutia aibu sana.