JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,183
- 7,481
Mbumbumbu fc
Jobe wa Simba😁😁
Wale walio shindwa kuifunga Mamelody
Umeniwahi kumtaja Freddy.Freddy "funga funga" wa Ahmed Ally.
Nilikuja hapa ku type Mzize bas umemalizaMzinze,mzize,mnzize huyu kijana sijui anafanya nini Yanga

Nilikuwa namuwaza mwambaNunez
Opportunity seekerYule Rastafari wetu msimu mzima aliishia kufunga goli moja pekee! Na bado aliwaingiza mkenge viongozi kwa kumpa mkataba mpya na mnono!! 😁