Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 251
- 580
Jamaa analipigania Taifa lake huku mkewe analiwa ovyo.DNA imeonyesha watoto wote siyo wa jamaa isipokuwa mwanamke kazaa na mchepuko ambaye ni baba mchungaji.
Kwa nini utumie pesa kumshawishi mwanamke?Hii inshu ya mwanamke kuleta mimba za nje ndani ya ndoa inakata sana mzuka wa kuoa