Mcheza kwao hutuzwa

babu M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Posts
5,222
Reaction score
3,176



Edward na Regina Lowassa wakiwa pamoja na Mchezaji wa mpira wa kikapu wa Orlando Magic,Dwight Howard wakati alipotembelea jimbo la Monduli leo na kutoa msaada wa kiasi cha 90m kwa ajili ya jenzi wa mabweni.






Wanyange wa Vodacom Miss Tanzania wakiwa jimbo la Monduli.
 
Asante babu, picha nzuri zinapendeza, nani aliwaalika hebu tupe kidogo basi wengine antena zetu hazija nasa
 
Hawa Vodacom Miss Tanzania walienda fanya nini sasa huko? Sioni uhusiano wao na hii event...
 


hiyo picha ya tatu naona ni mwendo wa red bull tuu... Kweli watoto wame kariri.....
 
duu kitu noma lazima uzime watoto wametupia kati lubega za kimasai utafikiri wamezaliwa huko thanx to vodacom kwa kututunzia mashosti wetu..
 
picha nzuri, wote wamependeza.
 
wamependeza, sasa ndo nini kupeleka pesa nyingine huko huko kwa f.................. mbona kuna shule kibao zinahitaji msaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…