Mchepuko

Mchepuko

Wala "hajakusafiria" kama anajua kazi 6*6 ndicho kinakufanya uwaze kumrudia!
USHAURI;Kama bado una feeling,endelea kula kwa masharti yafuatayo:-
1.Tumia kinga kila tendo
2.Heshima kwa mkeo ibaki palepale
3.Usiwe na mahaba niue kwake
4.Usimuamini na 'kumuabudu' sana

MCHEPUKO NI DILI UKIWA MJANJA

Nngejua jiran ningekupa hata bia mbili bro... yani umenena yaliyo mema
 
Ukichepuka mkeo pia lazima achepuke sasa raha yake utaiona!
 
Hapo sio brother,unawezakuja shtuka umemuoa kabisa. Naona kiza mbele,kimbia kama unaweza...
 
alafu wewe ni mwongo ask me why ,,... wewe ni frankclemence ulitafuta mchumba kwa matusu humu umebadilisha username naona unaleta swaga za uongo uongo tu

Umeona enh miss chaga! Kudanganya kwenyewe hajui! Kasema ni free p hana time na hela zake mara oh kaniomba hela za saloon! Seriously hahaha jf imeingiliwa na wahuni
 
Umeona enh miss chaga! Kudanganya kwenyewe hajui! Kasema ni free p hana time na hela zake mara oh kaniomba hela za saloon! Seriously hahaha jf imeingiliwa na wahuni

Muhuni ni Bibi yako nyumbani kwenu shwain
 
Umeona enh miss chaga! Kudanganya kwenyewe hajui! Kasema ni free p hana time na hela zake mara oh kaniomba hela za saloon! Seriously hahaha jf imeingiliwa na wahuni

Anaboa sana alafu anazengua na thread.za.uongo uongo nachukia
 
Ukicheka na nyani utavuna mabua ukimwi kk si mzazi mwenzako si ukimzalisha utakuwa msalaba wa milele kwa huruma hizo huku hukumbuki alivyokutenda
 
Huwa najiuliza hivi nina wivu au uchoyo?Sipendi ku-share mwanamke na dume mwenzangu hata aweje!Ee..mugabho,poole!
Ni ubinadamu huo hata akinamama hawapendi mitala ila basi tu. Sawa na mbwa kufungwa kamba shingoni, huwa hapendi ila afanyeje hana uwezo wa kujinasua.
 
Wanajamii heshima kwenu.
Hii ni stori ya kweli,so makinika.

Nimekuwa na mchepuko Kwa takribani Kama miaka mitatu sasa,mtaani wanaita nyumba ndogo.

Huyu mchepuko Ana age range ya 27-34 na bado hajaolewa.
Mara ya Kwanza kukutana nae alinielezea jinsi mwalimu wa shule moja Moro aliyekuwa nae kimapenzi alivyomtenda na out of sympathy nikaamua niwe Naye-kumbuka sikuwahi kuwa na mchepuko in my lifetime.

Alilia sana that day nakumbuka tulikuwa some place karibu na Police officers mess Dar es salaam.

After that akawa official sex toy coz ilikuwa ni free P Kwa kwenda mbele though wakati mwingine nlitoa huduma mbalimbali of which she didn't care much,Huyu dada ni mzuri balaa.

Kilichonifanya kuandika yote haya;
Huyu dada nimeshamfumania Mara Tatu since we met and Mara ya mwisho alinikana kabisa kuwa Mimi siyo mpenzi wake na hanijui.

Mimi nilikuwa mpole coz that day home nilikuwa na wageni kutoka Kigoma nyumbani so wasingenielewa movement zangu za Usiku,so nikawa mvumilivu.Ila cha ajabu asubuhi yake Huyu dada alikuja kuniomba msamaha na kujutia alichofanya na kudai ni pombe.

Nlimpiga chini na kuachana nae kabisa,ila sasa juzi Hapa nimemuona kapendeza sana na anagradute soon,akaniomba hela ya saloon na Nguo za graduation.

Nimejikuta nimesahau kila Alichonifanyia nikamnunulia kila kitu na bado nikaendeleza kupiga papuchi yake Kama kawaida.

Nafsi inanisuta Kwa kurudia matapishi ila pia nimefika mwisho wa kufikiri.

Je ninaweza kumwacha Huyu kweli au ndo kashanisafiria kwao

Asanteni.
kaombewe kwa Gwajima shida yako kwisha
 
Back
Top Bottom