Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 49,734
- 89,327
Huwa najiuliza hivi nina wivu au uchoyo?Sipendi ku-share mwanamke na dume mwenzangu hata aweje!Ee..mugabho,poole!
Basi endelea kwa raha zako mpwa tatizo mafumanizi huishia kukatwa kifanyio
Mchepuko++++ ni program mwendelezo ya C++?
Kuchepuka siyo dili,ni USHAMBA,na wewe ni MSHAMBA MKUBWA.
Mheshimu Mungu,
Iheshimu ndoa yako,
Mheshimu mkeo.
UZINZI NI DHAMBI,
NA MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI.
Usifikiri Mungu hakuoni,anakulia timing.
Subiri Counter attack inakuja.
Ni mchepuko Nina tumia mpira mkuu,Mimi siyo mshamba mkuu
Wanajamii heshima kwenu,
Hii ni stori ya kweli,so makinika
Nimekuwa na mchepuko Kwa takribani Kama miaka mitatu sasa,mtaani wanaita
nyumba ndogo.
Huyu mchepuko Ana age range ya 27-34 na bado hajaolewa.
Mara ya Kwanza kukutana nae alinielezea jinsi mwalimu wa shule moja Moro
aliyekuwa nae kimapenzi alivyomtenda na out of sympathy nikaamua niwe
Naye-kumbuka sikuwahi kuwa na mchepuko in my lifetime.Alilia sana that
day nakumbuka tulikuwa some place karibu na Police officers mess Dar es
salaam.
After that akawa official sex toy coz ilikuwa ni free P Kwa kwenda mbele
though wakati mwingine nlitoa huduma mbalimbali of which she didn't
care much,Huyu dada ni mzuri balaa.
Kilichonifanya kuandika yote haya;
Huyu dada nimeshamfumania Mara Tatu since we met and Mara ya mwisho
alinikana kabisa kuwa Mimi siyo mpenzi wake na hanijui.Mimi nilikuwa
mpole coz that day home nilikuwa na wageni kutoka Kigoma nyumbani so
wasingenielewa movement zangu za Usiku,so nikawa mvumilivu.Ila cha ajabu
asubuhi yake Huyu dada alikuja kuniomba msamaha na kujutia alichofanya
na kudai ni pombe.
Nlimpiga chini na kuachana nae kabisa,ila sasa juzi Hapa nimemuona
kapendeza sana na anagradute soon,akaniomba hela ya saloon na Nguo za
graduation.Nimejikuta nimesahau kila Alichonifanyia nikamnunulia kila
kitu na bado nikaendeleza kupiga papuchi yake Kama kawaida.Nafsi
inanisuta Kwa kurudia matapishi ila pia nimefika mwisho wa kufikiri.
Je ninaweza kumwacha Huyu kweli au ndo kashanisafiria kwao
Asanteni
gentleman's decision
'usirudie matapishi yako' hata kama yameongezwa fleva,hiyo inadhihirisha
jinsi ulivo cheap na unavoendekeza tamaa,watu dizaini hii hushia pabaya
sana kwa kuuliwa au kuambukizwa maradhi,si vibaya kumsaidia ila hakuna
kukumbushia,endelea kuwachekea utajalia na kusaga meno,kuwa na
msinamo
Nisiwe muongo Kwa kweli sijui mkuu
Mmmh....Kuchepuka siyo dili,ni USHAMBA,na wewe ni MSHAMBA MKUBWA.
Mheshimu Mungu,
Iheshimu ndoa yako,
Mheshimu mkeo.
UZINZI NI DHAMBI,
NA MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI.
Usifikiri Mungu hakuoni,anakulia timing.
Subiri Counter attack inakuja.
Mchepuko++++ ni program mwendelezo ya C++?
alafu wewe ni mwongo ask me why ,,... wewe ni frankclemence ulitafuta mchumba kwa matusu humu umebadilisha username naona unaleta swaga za uongo uongo tu
Ni mchepuko Nina tumia mpira mkuu,Mimi siyo mshamba mkuu
Yaelekea wewe unapenda mtelemko!sasa subiri akuambukize hiv,ne strong man acha ushamba wako wa kigoma
Kuchepuka siyo dili,ni USHAMBA,na wewe ni MSHAMBA MKUBWA.
Mheshimu Mungu,
Iheshimu ndoa yako,
Mheshimu mkeo.
UZINZI NI DHAMBI,
NA MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI.
Usifikiri Mungu hakuoni,anakulia timing.
Subiri Counter attack inakuja.