Mchepuko

Mchepuko

alafu wewe ni mwongo ask me why ,,... wewe ni frankclemence ulitafuta mchumba kwa matusu humu umebadilisha username naona unaleta swaga za uongo uongo tu

Naona mmeanza kujichanganya,Kama huniamini sikulazimishi Miss Chagga pita Kule
 
Chezea kupenda wewe!! unaweza mfuma mwanamkea na baba yako naukaendelea kupiga papuchi, kupenda kubaya jamani!!!!
 
Chezeya utamu weye!!!! Eti ulimpiga chini!!!! lol!!!

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom