miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
Hata sijaelewa yani nipeleke Mali mmh oteHapa kuna logic naiona kwa huyo mchepuko. Wewe imagine, sawa, baba wa hawa watoto keshafariki, umeachiwa watoto, wanahitaji kujua ndugu wengine wa baba yao, pia kumzika baba yao...lakini pia, wana haki ya mirathi (kama sio Islam ). So, kitendo cha huyu mchepuko ku hand over documents za mali alizopewa na marehemu nakichukulia cha kishujaa na ukomavu wa kifikra., pia inaonesha hana tamaa ya mali, au amerithika na hali yake na vile vya kwake alivyo navyo! Big up sana.