Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,639
- 44,391
Kuna mashirika makubwa kbs hapahapa hela ikifika elf 50 tu hulipwi cash,unaandikiwa hata cheque ya elf 50Khana Khazana Hotel ilikua Victoria barabara ya Ali Hassan Mwinyi sasa hivi tumehamia Masaki.
Mshahara wa juu kabisa ni laki mbili na nusu na tunalipiwa dirishani.