Mchepuko wangu kaolewa, haya maumivu sijui nifanye nini

Sheffer95

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2020
Posts
274
Reaction score
771
Ama kweli mshika kumi, kenda humponyoka.

Leo ndio nimejua ni maumivu kiasi gani mwanaume hupata pale mchepuko wake mtiifu akiolewa.

Niko home nasikiliza ngoma ya mapacha watatu ya "kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu mbaya zaidi kwa uliyempenda yeye ananenepa wewe unakonda".

Wife anashangaa imekuaje nimerudi mapema sana leo na nimekuwa mkimya sana. Daah kwa nilipofikia natamani hata nimuhadithie yaliyonikuta.

Hivi ndugu zangu nyie huwa mnafanyaje kutoka katika hali hii?

Maana jamaa alivyo na roho mbaya, yaani kaamua kumuhamisha kabisa mkoa. Sasa mimi nifanyeje?
 
Ama kweli mshika kumi, kenda humponyoka.
Leo ndio nimejua ni maumivu kiasi gani mwanaume hupata pale mchepuko wake mtiifu akiolewa.
Niko home nasikiliza ngoma ya mapacha wa3 ya kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu mbaya zaidi kwa uliyempenda yeye ananenepa weww unakonda.
Wife anashangaa imekuaje nimerudi mapema sana leo na nimekuwa mkimya sana.
Daah kwa nilipofikia natamani hata nimuhadithie yaliyo nikuta.

Hivi ndugu zangu nyie huwa mnafanyaje kutoka katika hali hii
Maana jamaa alivyo na roho mbaya yaani kaamua kumuhamisha kabisa mkoa sasa mm nifanyaje?
Siku mkeo akikuacha si utajitundika yaraby
 
Mchepuko unampa nafasi kubwa hivo moyoni.
 
Utaendelea kujipigia, niamini mimi.
Screenshot_20250508-140050_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom