ngungwangungwa
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 644
- 569
Wana MMU
Salaam;
Me ni mkristo,nna mke na nimeoa kwa ndoa miaka zaidi ya 10 iliyopita.
Mambo ya Dunia nayo hayakwepeki,nna mchepuko wangu nilioanza nao mwezi uliopita.
Mchepuko wangu ni wa imani ya upande wa pili Muislam. Leo mida ya saa 7 kanitumia ujumbe kunijulisha kwamba,tulivyoonana juzi hatutaonana tena hadi mwezi mtukufu wa Ramadhani utakapopita. Mwanzo nilijua anatania,lkn baadae kaonyesha msisitizo.
Me nikamuuliza huo mwezi mtukufu si ni mwezi ujao? Kasema kuanzia mwezi huu inatakiwa kuanza kujiandaa kwa kuacha maovu. Na akasema huo mfungo wenyewe ukianza hata simu wala message nisimtumie.
Tatizo limekuja kwenye hela..! Anasema hela ya matumizi km inawezekana nimpe kabisa hela ya mwezi mzima,ambayo ni laki 3. Me nikamwambia kwanza sina hiyo hela ya jumla.
Akasema basi nimtumie kila siku elfu 10,nikamwambia sasa nitakutumiaje wakati hairuhusiwi? Anadai hela nitume tu hakuna tatizo eti nisipomtumia atakula nini?
Kusema kweli nimeshangaa,nataka nimwambie kuwa hizo hela ambazo huwa nampa ni kwa sababu ananipa huduma. Hivi kweli kuna haki bila wajibu? Hebu tusaidiane wanajukwaa.