BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 786
- Thread starter
- #21
Nakubaliana na mawazo yenu kabisa na mimi sielewi lengo lake kabisa la kutaka kuendelea kutiana na mimi. Naona kabisa anampenda huyu mtu wake mpya ila yeye anasisitiza tuendelee na mahusiano kwa siri and she does not care kama nitamuona malaya au la ila yeye bado ananipenda sana.