Mchepuko unavyonitesa part 1

Kabla Ya Ushauri Naomba Unijibu Swali Hili.

Lengo Lako Hasa La Kufuatilia Nyendo Au Kupekua Simu Ya Mchepuko Wako Lilikua Ni Nini?.
 
Kufuga mwanamke HAPA mjini mitihani ...nitampatia pesa yeyote Ndani ya uwezo lakini SIO kumuhakikishia matunzo...au kumnunulia Mali isiyohamishika.....au gari ...pamoja na haya Kama Ana akili Nikiwa na mchongo wa pesa nitampatia ......
 
yamekua hayo tena ? rose haachwi sababu ndo amekua akinitibu majeraha yangu japo hajui anatibu nini. namwambiaga kuna mtu kani tapeli pesa zangu.

We bwana kuchepuka siyo deal kiasi iko...mwache Rose aende zake usimzimie mwenzio rizki...
 
Mimi sijaoa ila nina mchumba nlie dumu nae zaidi ya miaka minne na tunamatarajio ya kufunga ndoa tumpe jina rose. Kusema ukweli nlikua nachepuka ila kwa umakini sana ili mchumba wangu asijue mpaka siku moja nlipokutana na binti Sarah (jina la kubuni) nilimuomba namba ya simu tulikutana Kariakoo bahati nzuri wote tulikua tunaishi msasani so nikampa lifti mpaka anapoishi, baadae tuka chat nkamuomba tukutane kesho yake narusha sound akaniambia anamtoto na bwana ake amemkimbia so anasaidiwa na mama yake pesa za kulea mtoto hivyo hafkirii mtu kama mimi naweza kua na msichana aliezalishwa tayari.

Maneno hayo yalinifanya nimuonee huruma sana kutokana na uzuri wake nlijikuta natamka maneno "dont worry you have me" nikimaanisha kwanzia siku ile ningekua baba wa mtoto na mme wake pia.

Basi kuanzia hapo nikawa napewa mchezo na alikua anajituma kuliko hata girlfriend wangu wa mda mrefu basi mimi nikadata kabisa, pesa zikahamia kwake msg watsap nachat nae yeye tu girlfriend wangu rose nkaona anaboa akawa tu analalamika "byb ua actin weard nowadays niambie kama umepata mwingine" nikawaga mkali kama pilipili nkawanamtaftia kijisababu tu nimuache.

Maisha yakaenda hivyo kwa kipindi cha miezi kadhaa mtoto nikampenda kama wangu na alikua bibie akilia shida najitoa kweli kweli sasa kibao kilipo geuka ni sarah alipoanza kuniambia kua x boyfriend wake aliezaa nae anataka kumuona mtoto wake hio siku ilikua chungu sana sikuweza kusema hapana basi hio tabia ya jamaa kuja ikazidi, sarah anakaa kwao so sikua na mamlaka sana ya kukataa sema hicho kitu kilikua kinaniumiza sana.

Kuna siku nkaamua kupark gari nje kwao jamaa nilipoambiwa kaja nkaaa sana baadae nkamuona mama Sarah anatoka sokoni nliumia sana sababu nlijua jamaa kaspend zaidi ya nusu saa akiwa na sarah uwezo wa yeye kumgegeda ulikua mkubwa sana basi nikamind sana nikatuma msg moja kali sana kwa Sarah baadae alinitext tukutane nilipoenda akaniambia uhusiano kati yake na ex wake ni wa mtoto tu na wasingeweza ku kwakua mtoto hakulala siku hiyo baada ya hapo nlikubali lakini nkasema ntatumia mbinu zote hata za kijasusi kujua kama bado wana mahusiano na jamaa basi nkawa natega simu kila nikiikamata nakuta msg zimefutwa nkajua ex wake hapendi kuchat maybe au sarah ana simu mbili.

Siku ya mwizi ambayo ni ya arobaini ilipofika Sarah alikua analalamika anaenda Kariakoo lakini hana pesa na mtoto hana vitu vingi nkaona hii ni chance nikamwambia ntamtumia hela ajiandae, kumbe huku na mimi najiandaa nlipomaliza nkawasha gari nka enda hadi sehemu anapotoleaga pesa mpesa nikajificha kidogo alafu nkampigia akaniambia yuko tayari alikua anasubiri mimi tu nitume pesa nikakata nkamtumia.

Basi alivyoenda tu kutoa pesa kugeuka niko nyuma yake nkamwambia panda gari twende na mimi nina safari ya kariakoo , ile kapanda tu anataka aguse simu nikaichukua nikafungua sehemu ya msg akataka kuipokonya nkwamwambia nitamlamba makofi kuona nimekua mkali akatulia kwa kweli nlisoma msg nyingi sana za ex wake alieseviwa baba watoto na ilioniuma zaidi ni aliomwandikia " nakupenda baba watoto wangu" kitu kingine kilichoniuma zaidi ni jinsi mimi nlivyo seviwa ameni save ka herufi kangu ka kwanza kwenye jina langu basi baada ya hapo akawa analia tu nkamrudishia simu yake tukafika kariakoo as nothing is going on akanunua vitu vya mtoto na pesa nyingine nkamuongezea.

Jioni kurudi home akilini nikawa nimepanga kuachana naye sababu nimekua wakuchunwa ila moyo wangu unanisaliti i feel something kwa huyu mdada nikikumbuka umbo lake sura yake naona ya masaa 24 kuanzia sasa nitaomba turudiane coz na m miss na yeye anajua hilo and she is waiting for it coz aliniambia sorry kila nkimbana kwanini alifanya vile ananijibu "yaishe si nliisha kwambia sorry".

Naombeni ushauri magwiji.

uwezekano mkubwa kama umewahi kuogea maji aliyokuandalia kwenye ndoo, aliweka kanguo kake kadogo kabisa humo!
 
Kweli ulipoteza muda wako. Hakupendi huyo. Na rose unampotezea muda miaka mitatu humuoi mbaya zaidi unachepuka.
Not fair at all
 
Hii michepuko mnayoparamiaga?!! Ngoja Rose ajue akuache na huyo aliyekugeuza ATM arudi kwa baba mtoto ndo utajua ufanyaje
 
napendaga sn yawakute km hayo mm noliachwa na boyfriend wangu bila kosa kwa kumitaftia visababu tu kumbe kapata mtu wat goes arohnd comes around subiri mpk ukamuombe msamaha gal wako we 4years umempotezea mda mwenzio kweli
 
Rasimisha uhusiano huo.......nenda kwa wazazi wake......tangaza nia......mpigie simu huyo x wake mwambie aache mambo ya kiboya kumzoea huyo manzi.......kama ni mtoto asubiri akitimiza miaka 8 atakuwa na uhuru wa kumuona na kumlea ila kwa sasa huyo X aamue moja kama atamchukua mtoto akamlee mwenyewe au na huyo demu ache mambo ya kifala ya kukuchezea michezo ya kukuchanganya na mwanaume mwenzako bila kuweka msimamo kuwa anataka kuwa na nani kama mume rasmi kupata mtoto na huyo jamaa haimpi haki ama ruhusa ya kuwa kigeugeu ...............kama hawezi kutumia akili zake za kuzaliwa atumie tuh hata makalio........!

Makalio?.......?.... Ahh akili za nanihii wa ....
 
Ndugu yangu..hapo huna chako..wanawake wengi hupenda mzazi mwenza kuliko mchepuko..nasikwambie mtu hiyo baba wa mtoto akikujua jua bifu unaloo...tulia na rose..hiyo ndo wife material..kasubiri mda wote huo? Msaidie kujua style ya mapenzi unayofurahia..sio kuchepuka.

Tulia na rose wako, yeye ndiye mwenye mapenzi ya dhati,

Love your wife material, and dump your material wife.

Mwisho, ikatae ccm na mambo yake yote na hila zake zote.
 
wanawake wa kipind ik drama nying,,uyo she might be taken u for granted,,,hapaswi kukwambia et i said sorry,she is suppose to explain unless ana uhakika amekushika ndo mana anakiburi
 
wanawake wa kipind ik drama nying,,uyo she might be taken u for granted,,,hapaswi kukwambia et i said sorry,she is suppose to explain unless ana uhakika amekushika ndo mana anakiburi


Rose Ni mwanaume?
Kama sivyo yeye Ni wa kipindi gani?
 
These are the things men "DO"

Things Men Do - By James Hardley Chase.

Huyu bwana mdogo atakuwa karogwa. Si bure. Acha aendelee kuwa spare tyre huku akihudumia 100% na " Baba Watoto" anasukuma ngozi kiulani tu.

Kuna vitu huhitaji ushauri wa mtu yoyote. Common sense should prevail na moyo unapaswa kuambiwa uache kiherehere chake na ufanye kazi yake ya kupump damu tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom