nina wasiwasi na uanaume wako.......
aaaaagrrrrrr kumbe waanaume kama nyie mpo bado
nimekuchukia tena sana sana
uanaume si kile kikatio sio?
so unadhani hana kikatio au kipo lakini hakisimami kukata?
lol lel lil
Hahahaaaaaa uwiiiiiiiiUkute pesa zingine unazompa anampa baba watoto wake.....!!!
Una moyo kulea mwanaume mwenzio na kiumbe chake!!! Unastahili tuzo
Jamani jamani, si keshasema kuwa wanaochukuwa maamuzi magumu ni vibaka?Sijui kwa nini watu wengine wanakuwa wagumu kuchukua mamuzi magumu
umenichoka ehee??
yamekua hayo tena ? rose haachwi sababu ndo amekua akinitibu majeraha yangu japo hajui anatibu nini. namwambiaga kuna mtu kani tapeli pesa zangu.
jina langu mbona unawamilikisha wengine sasaMie nikuchoke tena!! Naanzaje kwamfano?
jina langu mbona unawamilikisha wengine sasa
haya mamitoUle ulikuwa mfano tu walaaaa sijammilikisha mtu
endelea kushika pembe maana Abraham wake unamjua ila unajichetua.
Mwenzio kakugeuza kitega uchumi chake mweh mweh mweh unasubiri embe dodo chini ya mlimao.
Acha ukatili we mwanamke!