Mchepuko unataka nimuache wife

We msichana una busara kama Mama Maria Thereza.... will you marry me???
 
Kama ulichosema ni ukweli mtupu basi MIMI yangu ni haya, na hii ni kwa wote wenye kutatizika katika mambo ya kufanya Maamuzi. Kwanza maamuzi sahihi na ya busara hayafanyi kwa kuzingatia others feeling,ulifanya maamuzi ili umlizishe mama, kitu ambacho kimekusumbua kwa mda mrefu, unge mweleza mama wewe unataka nini,tumia mda mpaka angekuelewa.Kwa sasa unaogopa kufanya maamuzi ili usizikose pesa million moja, Hii ni kwamba umejifunga akili kwamba huwezi kuishi na ukaweza kuhudumia familia yako kwa laki saba, kwa taarifa yako watu wanalipwa kidogo kuliko wewe na wameweza kutunza familia zao ( wake up brother) tatu bado unaweza kupata hata zaidi ya milion moja katika mazingira mengine acha kufanya maamuzi kwa kuzingatia mazingira yatokanayo na huyo ex wako, jiulize mungu akimchukua itakuwaje, amini unaweza mwombe Mungu lakin amka na fungua macho
 
Huo mchepuko ni kimeo. Kaa na familia yako.
Tambua angekuwa mke bora mumewe asingempotezea.
Tambua ukimuacha mkeo kwa 1 milion kwa mwezi hutazipata tena ukishamuoa.
Tambua ukimuacha mkeo watoto hawatalelewa katika mazingira bora.
Kumbuka mama yako alitembeza bakuli kupata ada yako chuo.watoto wako nani atawatunza?
Yawezekana mchepuko hauna uzao.utajuta na kufa mapema kwa stress.Ndoa njema ni stressfree ndoa.
Kaa njia kuu mchepuko ni hatari kwa watoto na familia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…