Mchepuko unanilazimisha nisherehekee naye katika sikukuu ya Chrismass

Mchepuko unanilazimisha nisherehekee naye katika sikukuu ya chrismass
Sikukuu zote nimezoea kusherehekea na mke wangu pamoja na watoto,kwa kipindi hiki mchepuko ananipa mahaba yote na kunilazimisha niwe naye pamoja katika kusherehekea.Hapa nipo njia panda sijui nifanyeje wakuu...ndoa yangu naipenda na mchepuko nampenda pia kutokana na mnato alionao.Wakuu mnanishaurije?

Mzee una mada za mchepuko nyingi kweli sema Fresh Tu kwa kuwa bundle ni lako wajazie JF server zao
 
Back
Top Bottom