Huyo atakuwa kakuendea kwa babu Kigoma au Tanga ili umuache mkeo. Mara nyingi mchepuko anakuwa na kisirani na mke kwa sababu yeye hana mtu na anajitambua kuwa huwezi mpenda kama unavyompenda mkeo, hivyo atakuyumbisha makusudi tu ili akuharibie ndoa yako. Usiendekeze sana michepuko, hawana issue hata kidogo. Kumbuka, wanawake wengine si wa kuoa kwani wana mikosi na wanajijuwa. Piga chini haraka sana huyo changu asije kukuharibia ndoa yako.