Mchepuko oyeee!

Idiots have been here, it's just sad that technology is forcing us to interact with them more.
 

Tunapoelekea utakua ni mchepuo si mchepuko tena. Yaani combination
 
Swali dada. Mumeo akichepuka na ukijua kwamba anachepuka utajiskiaje. Unachofanya unaona ni sawa lakini wewe na huo mchepuo wako mmekosa maadili. Inawezekana mlilelewa na single mother. Umeleta hii mada hapa kwa sababu kwenye moyo wako hii kitu inakuhukumu. Ushauri wangu achana na mchepuko, tulia nyumbani kwako. Kwa sasa unaona sawa lakini mwisho wa dhambi ni mauti. Kuna siku utalipa gharama ya hayo unayofanya..
 
Kweli wewe dagaa
 
pole sana
Sent using galaxy s10+
 

Huo ni Uzinzi tu kama ulivo uzinzi mwingine.
Kifupi wewe ni Malaya tu.
 
Nilisema sioii, ila hii haitoshi, sichangii sendoff wala ndoa tena, wanandoa wasikuizi vichwa vimejaa upupu, na unawawasha kila saa.
Mkuu machizi wasikukatishe tamaa. Huyu ni malaya tu kama walivyo malaya wengine lakini wanawake waliotulia wapo wengi sana. Tafuta mmojawapo uoe. Ikiwa bahati mbaya ukaangukia kama huyu basi ni mapenzi ya Mungu kubali umeumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…