Mchepuko oyeee!

Hahaaa....kwanini uue mapenzi ni hiyari ya mtu...ikitokea ukabaini kuwa mkeo ana kusaliti basi mpe talaka aende zake....ya nini kujiingiza,matatizoni
Hivi unajua kinachowa-drive watu kuua?

1. Upendo uliopitiliza
2. Gharama zilizopitiliza kipato chako.
Unachotumia kumtunza mkeo.
3. Wivu uliopitiliza
4. Kiwango cha ubora wa mapenzi mnachopeana kwa bed.
- unawaza yaani mwingine ndiye akamfaidi mke wangu. Hapo ndipo adui anapopata upenyo wa Uovu dhidi ya mpenzi wake.

Mtu anapogundua usaliti akakusamehe ujue kuna nguvu ndani yake.

Au ujue ana njia nyingine badala yako anaitegemea zaidi ila kwa kuwa alikuwa nawe hakupenda aifuate.
 
Mmeo unampa mashamsham na kutoa ushirikiano kama unaotoa kwa mchepuko?
Kama haumpi, wewe ni source ya yeye pia kutafuta mchepuko wa kumpa mashamsham
 
Naona kivuruge wa miaka hiyo umerudi tena na hadithi zako za kimajinuni
 
we Mama una nyota ya kufa na UKIMWI live nakwambia.

siku yeyote safari yako inafika,we endelea.
 
Mumeo ana pesa mchepuko choka mbaya!! Arobaini yako ipo njiani.....Naamini mrejesho tutausikia kwenye media.
 
mwanamke mwenye tamaa kamwe haridhiki hata umsugue na brush...
mkuu nakupa pole kwa upupu huu ulouandika then unausifia ipo siku utakugharim nakukupa majuto makuu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…