Sasa mzee umesema mwenyewe wameumbwa kwa ajili ya ngono sasa povu la nini tena wakati mwanamke anatimiza wajibu wake? π€£π€£π€£π€£ Wee u atakiwa uombe nawe upewemimi nilitegemea watu kama nyinyi baba zetu au mama zetu ndo mtufundishe sisi vijana kuwa na maadili na kujiheshimu na ndoa zetu lakini ndio kwanza mnajisifia kwa kufanya uzinzi ila ndo maana mimi mtu siku hizi nikiona anaoa au anaolewa namuonea huruma ....fuvk yuo and him and your husband cause his stupid how the fucvk he didnt even realize you screw another man for all these years.wanawake ni watu wa hovyi ndio maana mumeumbwa kwa ajili ya ngono na sio kingine hapa duniani
dagaa Vp ukisikia mumeo nae anashangingi lake huko
usicheke ni jangadagaa: pole kwa masaibu, ndoa hizi acha, kuna mdada alikuwa analalama mme hasomeki mwaka
umeisha nikula kulala hakuna kitu haaa haaa nacheka kama mazuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe utapigwa risasi 14.usicheke ni janga
R I P SAID. hivi bastola ya Said ilipatikana nayo kweli? Na itarithiwa na upande wa mke au mume?Habari wanajamvi,
Wacha niende moja kwa moja kwenye hoja. Mimi ni mke wa mtu nina miaka kadhaa kwenye ndoa zaidi ya kumi, namuheshimu mume wangu na nampenda sana pamoja na watoto wetu, naye analitambua.
Huu ni mwaka wa sita sasa niko na mchepuko wangu na mchepuko wangu naye ni mume wa mtu, na sitegemei kumwacha. Na naweza sema jamani michepuko inaimarisha kutunza ndoa ukiwa na mchepuko wako ukakupenda na mkaheshimiana na mkawekeana misingi yenu, wacha niendelee kusema michepuko hoyee.
Sitaki ushauri wenu wa hoo sijui maradhi yapo, jibu ni kwamba tuko makini na mchepuko wangu kuliko mjuavyo, na ananikuna haswaa na ananijali sana.
Ila swali moja la kizushi, kwanini wanaume mlioko kwenye ndoa mkiwa kwenye sita kwa sita amuwapi mashamsham wake zenu ila mkitoka nje mnaonyesha ufundi ambao hamuwapi wake zenu? Hata mimi nina imani huyu mume wa mtu niliye nae ananipa mashamsham kama yote ila najua kwa mkewe atakuwa anampapasa.
Kwakweli mimi sijutii, na kama dhambi nimeshatubu sababu hata Mungu naye ni shahidi anaona ninachopata.
Wale wote wenye bibi wa kando na babu wa kando tuseme hoyeeeee.
Kwa kumalizia nasema hivi: Mchepuko wangu nampenda sana na na mume wangu nampenda na ndoa yangu siachi na yule naye namshauri sana asimwache mkewe, sisi tupo kwa ajili ya kurutubisha ndoa zetu na kujenga.
Karibuni.
Kwa hiyo na wewe mume wako haumpi mashamsham unampa huyo mchepuko wako, na mume wako nae anatoa mashamsham kwa mchepuko wake.Habari wanajamvi,
Wacha niende moja kwa moja kwenye hoja. Mimi ni mke wa mtu nina miaka kadhaa kwenye ndoa zaidi ya kumi, namuheshimu mume wangu na nampenda sana pamoja na watoto wetu, naye analitambua.
Huu ni mwaka wa sita sasa niko na mchepuko wangu na mchepuko wangu naye ni mume wa mtu, na sitegemei kumwacha. Na naweza sema jamani michepuko inaimarisha kutunza ndoa ukiwa na mchepuko wako ukakupenda na mkaheshimiana na mkawekeana misingi yenu, wacha niendelee kusema michepuko hoyee.
Sitaki ushauri wenu wa hoo sijui maradhi yapo, jibu ni kwamba tuko makini na mchepuko wangu kuliko mjuavyo, na ananikuna haswaa na ananijali sana.
Ila swali moja la kizushi, kwanini wanaume mlioko kwenye ndoa mkiwa kwenye sita kwa sita amuwapi mashamsham wake zenu ila mkitoka nje mnaonyesha ufundi ambao hamuwapi wake zenu? Hata mimi nina imani huyu mume wa mtu niliye nae ananipa mashamsham kama yote ila najua kwa mkewe atakuwa anampapasa.
Kwakweli mimi sijutii, na kama dhambi nimeshatubu sababu hata Mungu naye ni shahidi anaona ninachopata.
Wale wote wenye bibi wa kando na babu wa kando tuseme hoyeeeee.
Kwa kumalizia nasema hivi: Mchepuko wangu nampenda sana na na mume wangu nampenda na ndoa yangu siachi na yule naye namshauri sana asimwache mkewe, sisi tupo kwa ajili ya kurutubisha ndoa zetu na kujenga.
Karibuni.
Kuna vitu vingine vinaangaliwa kwa mwanamke anaye cheat sio simu peke yake.heshima muhimu, na kwataarifa yako hata kunihisi hawezi hata simu nimoe siku nzima hana atakachopata.
Correction, Waswahili wapo waliosoma mpaka PhD,pole sijui uswahili gani unamani, nina degree zangu 2 na kazi yangu ya maana usinichukulie poa.
umetubu lakini unaendelea kuchepuka?nimeshatubu kwa Mungu na Mungu nae najua amenisamehe kwasababu anaona furaha yangu iko wapi