Maisha pesa
JF-Expert Member
- Nov 6, 2015
- 681
- 632
labda alikua anatest zaliUsaliti utakuongezea nukx tu maishani mwako..mpenzi unae na mshapanga kuoana then kinachokupeleka kumla huyo ni nini kama sio shetani kakuandama..option kaa utafakari mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kuzungushwa for two months..aka give up. Alivokuja akamkubali testing if she will still act the same kumbe mwenzie ana long term plan..ndo kang'ang'ana
Yap ndo hivyo mkuu ila kigeugeu hakimuachi mtu salama..mtu aweza akawa na mahusiano na mwenzie kwa muda mrefu then akam'bwaga kwa kufuata matamanio ya nafsi yakeBaada ya kuzungushwa for two months..aka give up. Alivokuja akamkubali testing if she will still act the same kumbe mwenzie ana long term plan..ndo kang'ang'ana
Na mostly inakuaga for no reason...basi tuu mtu anago ghost. But Karma thoughYap ndo hivyo mkuu ila kigeugeu hakimuachi mtu salama..mtu aweza akawa na mahusiano na mwenzie kwa muda mrefu then akam'bwaga kwa kufuata matamanio ya nafsi yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine kiherehere tu..wanapenda kuwaharibia wenzao tuHajui tu masikini kuna mwanaume mahali flani ambae atampenda kwa dhati kuliko kukung'ang'ania wewe.
Ukishaona namba hazisomi kaa pembeni lia na Mungu akupe wa kwako
Huyu ni mfano wa wale watu wenye two faces..yaani hapo moyo wake bado haujakuwa na maamuzi sahihi..amegubikwa na tamaaNa mostly inakuaga for no reason...basi tuu mtu anago ghost. But Karma though
That's the truth..wengine ni ving'ang'anizi na hawajiamini wao kama waoUkishaona namba hazisomi kaa pembeni lia na Mungu akupe wa kwako
Inatokea unapokuwa kwenye mapenzi kupata rejection unajiuliza kwanini iwe mimi. Baadae unakuta a na mtu anakupenda unajiuliza tena kwanini nilikuwa ninamlilia yule mbwa?That's the truth..wengine ni ving'ang'anizi na hawajiamini wao kama wao
Sent using Jamii Forums mobile app