Mchepuko amtelekezea mtoto jamaa

Mchepuko amtelekezea mtoto jamaa

Mchepuko una roho ngumu dooh!kwa uchungu ule WA kujfungua akaampe mtoto babake kirahis hivo akalelewe na mom mwngne duuuuh kuna watu wana roho ngum kwakwel..my self siwez aisee Bora nikomae tu na mwanangu!
 
Huyo mama mwenye mtoto ana roho ngumu sana
Wanawake wa zama hizi ni changamoto sana mkuu. Tatizo sijui ni nini haswa!? Ninavyojua mimi mpaka mama kuamua kumtelekeza mtoto wake hiyo si Roho ya kawaida......ni zaidi ya Roho ngumu.
 
Roho ngumu kivipi wakati kampeleka sehemu salama na inayostahili? Si mnasemaga mtoto ni wa baba?
Mh! Huyo baba
Roho ngumu kivipi wakati kampeleka sehemu salama na inayostahili? Si mnasemaga mtoto ni wa baba?
Roho ngumu kwa sababu mtoto bado mchanga. Ok! Huenda jamaa ataweza kumnyonyesha
 
Likitokea hivyo inabidi upambane na hali yako, kama ni mtoto wako inabidi umpokee, ambaye hamtaki anaweza kutafuta mlango wa kutokea.
 
Kimsingi mtoto anakuwa hana kosa kabisa!
Ni kosa kubwa zaidi kumuadhibu mtoto kwa ushenzi au uzembe wa wazazi,hapo ili kulinda maslahi ya mtoto ni muhimu wazazi (including mke)kukaa pamoja kuombana radhi na kuona namna bora ya kumpa mtoto haki zake,thereafter kama kuna kuadhibiana waadhibiane watu wazima pekee!!!
Inaumiza sana kukuta mtoto anaumizwa ilhali hajui chochote,amezaliwa tu!!!!
 
Atampeleka wapi maana mke hataki mtoto anasema mume apambane na hali yake!we unadhani huyo mke wa jamaa atakubali kirahisi
Na yeye ataondoka muda huohuo watoto wote watalelewa na house girl tena asijaribu kuuliza maadamu kopi ni yangu atalea au aondoke
 
Mimi siwezi kukubali hata kidogo kwakweli... Noooo! Raha wapate wao kinyesi nifue mie... Ni no... Ningekuwa nimemkuta ata akiwa na siku mbili nalea
Na wewe unaondoka hunifai pokea mtoto lea naye ni wako sawa na hawa uliozaa wewe
 
Niliwahi kuletewa mtoto na mke kwa mchepuko na mchepuko haukuwa unajua nina mke,mkuu samaki nilimuita aki!Tulikuwa off tumejilaza kwenye kapet uwiii sitaki kukumbuka that was 2000 na mtoto alikuwa na kama miezi kama 6 usiombe ya kukute,sina ushauri natafuta ada za watoto.
Niliomba mke apokee mtoto aligoma nami kumuacha nje mtoto sikubali nilifanya vitimbi mpaka alimfuata yeye mtoto ndipo amani ikaljea mtoto sasa amehitimu chuo usikubali kuacha nje mtoto hata iweje mtoto anathamani
 
Kweli roho yangu mbaya sanaaaaa!!!!

Na aking'ang'ania sanaaaa akae hapo home itakula kwao
Unamlea tena kwa sharti kuwa akizurika na wewe unaondoka hakikisha kala kashiba kaogeshwa kavikwa vinginevyo tutasumbuana
 
Back
Top Bottom