Mchepuko amekomalia hataki ndoa ifanyike


Hizi habar zako mbona kama sielew huchepuki wewe
 
asiwe mwoga afanye anayoyapenda huyo mchepuko atulie kwa kutishiwa na jamaa... maana jamaa akiwa easy kwa huo mchepuko basi ataona maisha kwake magumu sana awe mbogo yani abadilike mpaka huyo mchepuko aone kweli upande wa pili wa jamaa ni shetani
 

angekuwa ameamua hii mada isingeletwa hapa. pia maana ya furaha naona ni tata.
 
ndio matatizo ya wavulana, hawana maamuzi magumu...
 
Tatizo la ajira nchini ni kubwa sana kwani wasomi wameongezeka, na haliwezi kupunguzwa kwa kuandamana..
 
mkuu umeongea kwa
hisia sana. m20 ni fidia au vipi? me naona solution ni kama walivyosema
wakuu, kuhududumia hiyo mimba na mtoto atakayezaliwa hata kama
hatomuoa(kama.mchepuko atakubali)

mkuu ebu kuwa mkweli the so called mkeo na mchepuko ebu sema ukweli mtam ni nan?sipiki ze tulus andi wi ashemu ze devo? ukiona so kusema pm
 
Kinachotakiwa hapa ni mchango wako wa maWazo yenye uelekeo wa kutatua tatizo lililopo sio kikohozi kikavu. Mchango wangu ni kuwa kama waliahidia kuoana ni sawa. Mchepuko kudai kutimiziwa ahadi yake, lakini hakukuwa na makubaliano yoyote ya uhusiano wa kudumu amkumbushe makubaliano yao. Tatizo pale kama haikujulikana ni uhusiano wenye uelekeo gani. Alipaswa pa kumweeleza kuwa ingawa anapendana naye yuko committed kwa mpezi wake aliyoko masomoni, akirudi atafunga naye ndoa. Huyu mchepuko alipaswa kuamua kusuka au kunyoa. Ukweli utakuweka huru na uwongo hukufunga kitanzi. Kama aleleza uongo amuombe radhi mchepuko na aeleze msimamo wake mpya.
Pole lakini kwa kikohozi kikavu Mungu atakujalia uanze kutoa hoja zenye mshiko maana tangu kikohozi kikuanze hujatoa mchango wa maana kama kawaida yako.
Koh! Koh! Koh! Koh!
 
Hata mimi nisingekubali.
Hata mm pia nisingekubali, maana inonyesha huyo mwanaume hakumwambia ukweli kuwa wewe ni wakuzugia na msichana wa watu akujua keshapata mume, mwisho ndiyo anamwambia kuwa anataka kuoa. hapo nginja nginja mpk baharini.!!!!
 
huyu jamaa nae kilaza kweli, unaendaje kavu kavu kwa mchepuko!!!!!... amerikoroga mwenyewe na alinywe.
 
Wa kuzugia angefuata malaya barabarani ! ndio tatizo letu wanaume ,ni hatari kuanzisha mahusiano na mdada anaye tafuta mume.Ni heri umwambie mapema kuwa naomba tuburudhane ! Hapo ni pagumu ,Kuna watu wameo watu ambao walikuwa wanazugana tu
Hapa ndo huwa nashindwa kuwaelewa wanaume...kumfanya mtu wa kuzugia duh...mchepuko na ukomae kabisa
 
Wa kuzugia angefuata malaya barabarani ! ndio tatizo letu wanaume ,ni hatari kuanzisha mahusiano na mdada anaye tafuta mume.Ni heri umwambie mapema kuwa naomba tuburudhane ! Hapo ni pagumu ,Kuna watu wameo watu ambao walikuwa wanazugana tu

Umeona ee...kama wataka wa kuzugia kuna watu hizo ndio biashara zao...lakini kumfanya wa kuzugia mtu aliyejituliza kabisa na yuko serious ja relationship isnt fair..wacha ang'ang'anie
 
Huyo jamaa kilaza mimi naoa na huyo mchepuko akiona nimemchefua alambe ndimu,huwezi force ndoa kma mtu hakupendi na ndoa nyingi za hvyo hazimalizi mda chali
 
Hata akikomoa vipi kama siyo wa kuolewa na haolewi ng'oo.
Mwambie amuweke mchumba wake sawa ,naye akileta za kuleta apige wote chini aanze upya ,,,,,hamna ndoa za kulazimishana ,km ni mimba Lea na mtoto tunza .
 
Hata mm pia nisingekubali, maana inonyesha huyo mwanaume hakumwambia ukweli kuwa wewe ni wakuzugia na msichana wa watu akujua keshapata mume, mwisho ndiyo anamwambia kuwa anataka kuoa. hapo nginja nginja mpk baharini.!!!!
Mkitandikwa mboo vizuri huwa hamuelewi somo nyie ,mtang'ang'ania tu hata kama kitu hakikuwepo kwenye makubaliano ya awali.
 
kama nakuwa huyo kaka nammaliza kwanza huyo mchepuko akafie mbele asilete kiwingu aseeee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…