Mchepuko almanusra udakwe bafuni

La umuhimu ni kumrudia Mungu na kuogopa kufanya maovu,dini hazijasema uchepuke kisa tu unahisi hujaridhishwa,tubadilike
 
Hahahahahahaha..........
Hiyo hatari, naakome kabisa kuchukuwa wake za watu. Yaani huyu alibidi akutwe kwanza iliale kichapo..
 
Muwe wapole tu ukiona unagongewa
 
Kwa style hii Ukimwi utatamba Milele
 
Yaani nitakurushia vitu laini laini vyenye kuleta hisia za ndani katikati ya apple,halafu utajikuta dunia ingine kabisa huku ukitaka tena na tena mpaka mambo yanafikia kilimani juu kabisaaaaaaaa.
Asante
 
Ukifuatilia kwa undani wake utakubaliana na maneno ya miss chaga, wanaume tulio wengi tunasahau kutimiza wajibu wetu kwa wake tuliowaoa aidha kwa kudhamiria au kutojua / kutoona umuhimu wa kutoa ile huduma pendwa kama tulivyokuwa tukiitoa kabla ya kuanza kuishi pamoja rasmi. Hakuna tena kujali, kubembeleza, kumwandaa, dozi inapungua kiasi ambacho mke anapoteza mvuto wa penzi kwa mumewe. Pamoja na hayo yoote akina mama/ dada pia msibweteke, timizeni wajibu wenu kwa upande wenu pia ili tuenende sambamba
 
Sioni ajabu hapo, n imewahi kumla dada wa watu ambae kwa umri ule atakuwa amlikuwa ameolewa tuu, tena hadi tiGO niliibanjua na rasmi nikaanza kuwa na mzuka sana na huo mchezo
 

hahahahaha......''nimemuagiza Musa,yule fundi wa site ya Kigamboni,mpatie laki mbili akija mchana.Ally Magari pia atakuja saa 11 kukagua hiyo gari nyingine tunaoyoiuza,mruhusu na nimepokea simu ya mama toka mkoa huko,anaumwa so kama vipi mcheki kumjulia hali.
LEO NITACHELEWA KURUDI NINA KIKAO CHA HARUSI YA MSHANA HUKO RANGI TATU SO HADI KUFIKA KAWE ITAKUA LATE,USISHTUKE!''......dadeki,maisha yanatupelekesha sana aisee
 
sms kama hiyo halafu ukamalizia na neno i love u baby kuna ubaya gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…