Mchengerwa ni nani?

Mmoja wa wahusika waandamizi wa utekaji
 
🤣🤣
 
Ni TAPELI mtumia Fursa. Ni hivi kitaaluma ni MWANASHERIA alianzia kazi Mahakama siku za mwanzo. Baadaye aligombea Ubunge Rufiji ambapo alishandana na DR. SEIF aliyekuwa Naibu wazari wa afya enzi za mwisho za jakaya. Alishinda kwa fitna. Bungeni akapata Uenyekiti wa Kamati ya Katiba na Sheria ila mara nyingi Magufuli alitaka aondolewe amshukuru Ndugai alikuwa anamuonea huruma. NI MJUAJI WA KIJINGA JINGA BILA MANTIKI.

kuhusu kumuoa WANU AMEIR, kwanza huyu WANU alikuwa ameolewa na jamaa mmoja mzanzibari ni DC huko Kusini. Huyu jamaa alikuwa rafiki wa MCHENGERWA. kulitokea jambo WANU na mmewe wakatengana, hapo ndio KIFUA KIPANA MCHENGRWA alipoona fursa akakaimbia akamuoa wanu haraka kama mke wa pili mama yake akiwa makamu wa RAIS.

Kimsingi MCHENGERWA ni co PRESIDENT KWA SASA. TEUZI NYINGI ANAFANYA YEYE. Mfano amepeleka demu wake TANAPA kuwa Mkuu wa Manunuzi, amepeleka vijana wake BANDARI kuwa wakuu wa idara, mshenga wake amekuwa DG PSSSF, vijana wa operesheni TISS ni mtu wake, NK.
 
Nchi imeoza hii asee
 
Wakati anaharibu huo uchaguzi, raisi alikuwa wapi?? Au raisi alichukua hatua gani.
 
Kumbe wanu alikua single mama wa faida, dah!
 
Ni mwehu tu
 
Ana haki ya kuwa Rais na ana sifa we shida yako nini. Hatuna muda wa kujadili watu, we jipime gombea nafasi yyte unayoona inakufaa
 
Ana haki ya kuwa Rais na ana sifa we shida yako nini. Hatuna muda wa kujadili watu, we jipime gombea nafasi yyte unayoona inakufaa

Topic mpya hii! Ndio maana vijana mnafeli sana, kuna mtu kaongelea kwamba hana haki ya kuwa rais? Kuna mtanzania asiye na haki hiyo? Why iwe yeye? Hizi elimu za kukariri past papers inazalisha chawa sana wasio na akili ya kuelewa mambo!
 
..pia ni Shemela wa.Abdul,yule aliyeenda kumtembelea Lissu kule Tegeta!
 
Topic mpya hii! Ndio maana vijana mnafeli sana, kuna mtu kaongelea kwamba hana haki ya kuwa rais? Kuna mtanzania asiye na haki hiyo? Why iwe yeye? Hizi elimu za kukariri past papers inazalisha chawa sana wasio na akili ya kuelewa mambo!
We mkundu umekariri vinyesi? We msenge uwe na adabu acha arrogance wakati umebeba mavi tu kichwani. Niwe chawa wa Mchengerwa ananifahamu? Siyo kila mtu ni zwazwa km ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…