Mchengerwa ni nani?

Huwajui chawa wewe
Kwenye kufuata upepo
Chawa wako smart kuliko bendera
 
Bado hakuna uhuru JF ingekuwa zamani kabla ya sheria ya cyber crime act watu wangefunguka lakini sio kwa mazingira haya. Tutegemee mada za ngono zijae hapa
 
Nchi ishakua na umama mkwe nk unategemea nini. **** zao
 
Ni muhitimu wa Kampala international university, Shelia (Sheria) na aliwahi kuwa Waziri anaye wa simamia wasiojulikana
 
Mchengerwa

Ni MP wa rufiji
Amemuoa mtoto wa Mama Samia anaitwa Wanu Hafidhi .

Kwahiyo ipo hivi mke wake ni mbunge , mkwe wake rahis hivyo yaani.
Na wanasema ni mjukuu wa bibi titi
 
Ni jamaa fulani hivi tulisoma nae shule moja na mengine ngoja ninyamaze.....
 
Ni kati ya mabilionea walioibuka ghafla ndani ya mda mfupi wa utawala wa bi Chura kiziwi
 
Hapo mimi sikubaligi, mambo hapa hapa duniani, ya huko mbinguni watajuana na Allah, aniulie ndugu yangu halafu ningjee Allah, no way -- Hapa hapa
Mkuu amini malipo ya dhambi ni hapa hapa aliua nae atauwawa tu dini zinataka haki hii kanuni ipo kimkakati wa karma utalipwa ulichotenda huko kwa Allah ni jambo lingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…