Mchengerwa ni nani?

😅 We ndo wale wa tuma kwene namba hii Jina litakuja......
 
Mchengerwa kabla ya kugombea ubunge alikua Msaidizi wa Jaji katika Mahakama Kuu ...akisaidia jaji kuandika hukumu, baada ya Mama Mkwe kupata Umakamu wa Rais kwa awamu ya Pili akagombea Ubunge kule Rufiji, Mchengerwa ndo aliyesaidiana na Jaji Mwanga kuwahukumu akina Mbowe ile kesi ya Akwilina kulipa faini ya mamilioni kumbuka kesi ya akina Msigwa, Mbowe, Esta Bulaya , Esta Matiku ambayo wananchi walichanga fedha kuwatoa jela.

Kama ilivyo ada ukiwa karibu na Viongozi unaingizwa kitengo Mchengerwa naye aliingizwa kitengo na mkwe wake kwa sababu tayari anakua anapata baadhi ya siri za familia ya Makamu wa Rais kupitia mke wake ....so lazima atunze hizo siri za familia ....Kwa wasio fahamu ni kwamba ukitaka kuoa kwenye hizo familia kuna kauchunguzi hufanyika ka unafiki kuhusu kuolewa na kuoa wapi ...hivo utafika mahali nawe utaingizwa humo wakikuona kama wewe ni asset ama kwa maelekezo ama kwa kufuata misingi...
Nadhani inatosha tu Kusema kwamba angekuwepo Magufuli ..Mchengerwa asingepata hivyo vyeo...Maana baada ya mkwe wake kuingia madarakani akamweka kuw waziri moja kwa moja, akaanza na Utumishi wa umma (alifanya vizuri naweza kumpa 80%) zikaja kelele za watu kupotea maana ile wizara inasimamia TAKUKURU NA TISS kiutumishi akamwamishia michezo kwa muda badae akamuashia TAMISEMI Wizara nyeti na kubwa kweli kweli hii yote sio ka maslahi ya Taifa ila kwa maslahi ya familia...Mchengerwa ni mtendaji mzuri na mpiga kelele mzuri pia.


Nadhani jukuma lake kubwa ni kuona Ma Mkwe akibaki madarakani kwa kuwashughulikia wanaomwandama mama mkwe wake iwe kumsema vibaya au kumtukuna...Inasemwa mtaani kuwa ndo mwenye vikosi vya akina Mafwele watu kupotea au kunyamazishwa...Kwa kumrejelea dogo Chaula aliyechoma picha ya Samia, Mdude, ...
Wabunge kama Gambo na Mpina anahakikisha hawarudi bungeni kwa sababu wanasema mama mkwe vibaya...
 
Ok ok olo in olo ungekuwa wewe ungekubali mkweo asemwe hii nazungumzia kibinadamu tu sio nguvu ya utawala?
 
Ila chadema aisee, dah. Mungu awasaidie tu, Wana fitina na chuki kubwa sana......mbaya zaidi kina kaudini flani ndani yake.
 
Bado kidogo tu itabaki historia
Hakuna marefu yasiyo na ncha (hili yeye mwenyewe analijua vizuri tu na Wala halimtishi) hivyo hakuna Cha ajabu hapo katika Dua hili la kuku.

La kufurahisha ni kuwa hata ikiwa hivyo, Bado hawezi kamwe kufanana na Mzee flani mpika majungu (Kila siku kuanzia asubuhi Hadi jioni (sijui Hana kazI?!!!)) wa jf. Poleni sana, 'wa Moja hawezi kushika mbili na WA mbili hawezi kushika moja'.
 

Ahsante sana mkuu, umeitendea haki post yako!
 
JIBU LA SWALI LAKO NI MCHENGELWA NI MKWE WA RAIS NA AMEFIKA HAPO ALIPO SABABU YA KUWA MKWE WA RAIS FULLSTOP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…