Mchengerwa ni nani?

Bunge la uchakachuzi hilihili mkuu? Unaliamini? Nauliza wadau maana historia na background zinafichwa kwa maslahi ya watu, kumbuka account ya ponjoro la K'ndoni ilivyofanyiwa mandingo baada ya kutofautiana na Gwajiboy, majuzi tu hapa!
Ndio maana nikakwambiaje mfuate ukamuulize
 
Wasanii na viongozi ambao yule Mama pale Botswana akitoka wataganga njaa sana:

1. Wema pelepete
2. Steven Minenguo
3. Mrisho Pekupeku (Mzua taharuki)
4. Mwizi-jakuzi
5. Baba Tambarale (Chawa Mkuu)
6. Shasha, sheshe, Shishi vyakula milenda
7......

Viongozi:
1. Jimbo la Kule kura zilizojazwa za wizi zimekamatwa juzi
2. Huyu wa mada husika
3. Jina la wale wakusanya nauli ndani ya daladala
4. Yule aliesema tunywe miti shamba kuzuia korona, kisha akasema tuache tuchanje
5.....


Endeeleni kumbuka name calling (kutaja jina la mtu hairuhusiwi)
 
Okay nafikiri umesomeka mkuu vizuri .

Umesomeka sasa mkuu , tusubir waamke they will give you a lot of information.
 
Viongozi namba 4 ni nani ?
 
Kauli zake ni za kutisha sana. Alienda Mbeya akatema cheche, Mdude akatekwa na kupotea baada ya wiki tu.
 
Mchengerwa ndiye aliyeharibu uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Soma hapa:-

 
Ana uwezo wa kifalme mabegani mwake na alama ya ukomunisti usoni, wanasema ukimuona kobe juu ya mti ujue kapandishwa! So normal inaweza kugeuzwa kuwa extraordinary kwa maslahi ya mpandishaji
100%
 
Mchengwa au boss wake .

Ni sawa na 2019 watu walimlaumu Jaffo wakati Jiwe ndo aliharibu uchaguzi.
 

Alipanga na kupeleka matokeo kila kona ya nchi! Wapiga kura walifanywa wasen'ge tu kama walipiga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…