Mchemsho katika elimu

Masika

JF-Expert Member
Sep 18, 2009
723
30
MAMBO VP WADAU WA ELIMU?

KUNA TETESI NA PENGINE NI UKWELI KWAMBA KATIKA BAADHI YA SHULE,MASWALI YA KUCHAGUA (multiple answer questions) SOMO LA HISABATI/HESABU YAMEANZA KUTUMIKA KATIKA MITIHANI NA PENGINE UTARATIBU HUU UTAANZA KUTUMIKA PIA KATIKA MITIHANI YA TAIFA YA KIDATO CHA NNE YA MWAKA HUU!

UCHUNGUZI WANGU NLOFANYA NIMEGUNDUA WENGI WA WANAFUNZI WAMEACHA KUKOMALIA HESABU KWA KUWA MTINDO WA ana ana do NDO WATAANZA KUUTUMIA KWENYE HESABU BADALA YA KU-kokotoa,MANENO HAYOO.

NAULIZA TU,
(i)Kuna umuhimu wa kuleta hesabu za kuchagua katika nchi kama hii?
(ii)Vijana wa dotcom si ndo watapata 100 kwa 100 na sufuri ki utendaji?
(iii)Baada ya kufanya vibaya kwenye matokeo ya kidato cha nne,je kuanza mfumo ndo kutabadili matokeo?
(iv)Je kama lengo ni kuongeza ufaulu si wawajazie tu ili ripoti ipendeze?

Au mnaonaje wadau,NAWAKILISHAAAAAAAAAAAA!!!!!!
 
heee na mitihani ya std vii ya mwaka huu wamefanya hesabu za ana ana do
 
Back
Top Bottom