lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Waombe radhi watanzania. Ina maana wao ni washamba wa milango ya vioo?
Hilo la vioo nililiona nikawaza kama wewe. Vile vioo havina maisha marefu.
teh teh teh kwi kwi kwi kwi asante kwa taarifa nikachukue nikaweke magetoni nipate cha kujiangalizia
Kiujumla huu mradi wa DART kwa jiji la dar hautokuwa na manufaa ya muda mrefu.
kwa hili pia naweza kusema STRABAG wamechemka sana. iko hivi kuna hivi vituo vya kisasa katika njia mpya za mabasi yaendayo kasi zinazojengwa na kampuni ya STRABAG baadhi ya hivi vituo vimejengwa na kuwekewa madirisha na milango ya alluminiuma na VIOO vizuri tu, kuna kituo kipo pala ubungo urafiri karibu na big brother na kingine kipo maeneo ya kimara hivi vituo vimewekewa madirisha na milango mizuri ya VIOO.sasa tatizo ni kwamba navyo wajua wabongo tusivyo wastaarabu walah vile vioo havina maisha marefu vitarushiwa mawe na kuvunjwa vyote ni bora wangeweka nyavu kama walivyoweka katika baadhi ya vituo vyao. ila tukubaliane hapa lazima mateja watavipopoa vioo vyote.KWA HILI STRABAG MKAE CHINI NA KUTAFAKARI UPYA.
Ndo ivo tena,"kidani cha dhahabu hakifai kwenye pua ya nguruwe".Hilo la vioo nililiona nikawaza kama wewe. Vile vioo havina maisha marefu.
kwa hili pia naweza kusema STRABAG wamechemka sana. iko hivi kuna hivi vituo vya kisasa katika njia mpya za mabasi yaendayo kasi zinazojengwa na kampuni ya STRABAG baadhi ya hivi vituo vimejengwa na kuwekewa madirisha na milango ya alluminiuma na VIOO vizuri tu, kuna kituo kipo pala ubungo urafiri karibu na big brother na kingine kipo maeneo ya kimara hivi vituo vimewekewa madirisha na milango mizuri ya VIOO.sasa tatizo ni kwamba navyo wajua wabongo tusivyo wastaarabu walah vile vioo havina maisha marefu vitarushiwa mawe na kuvunjwa vyote ni bora wangeweka nyavu kama walivyoweka katika baadhi ya vituo vyao. ila tukubaliane hapa lazima mateja watavipopoa vioo vyote.KWA HILI STRABAG MKAE CHINI NA KUTAFAKARI UPYA.
Bila shaka vituo vitakuwa na walinzi, ingawa wasiwasi wangu vinaweza kugeuzwa guest bubu usiku km ilivyo pale daraja la Strabag Ubungo stand, watu wwlanafanyia yao pale usiku!
! Ni kweli ! "huu mradi kuna ubabaishaji mkubwa kwa ujumla!" Barabara gani hizi hazina mitaro / mifereji ya kusafirisha maji taka!