Wewe jiulize mchele wa wapi ukiwekwa tonhe unadunda ka kitenesi
Elimu, elimu, elimu...kwa ukosefu wa elimu Watanzania wanaangamia. Clueless14, you may be clueless but this is over the board! Labda bado uko mwaka 47, pole sana!Hiyo plastic gani ikipikwa haiyeyuki ?
Elimu, elimu, elimu...kwa ukosefu wa elimu Watanzania wanaangamia. Clueless14, you may be clueless but this is over the board! Labda bado uko mwaka 47, pole sana!
Wee nae !! Nimeuliza kama umeshiba wali wako wa plastic hujisikii kujibu si unakausha tu kwani sh ngapi bwana?MTU ANABISHA TU Mag3 NIDANGANYE ILI IWEJEHIZI NI ISSUE ZA AFYA TUKISEMA IENDE KISIASA WATU WANAZIDI KUANGAMIA KIMYA KIMYA TU............
niko mwaka 27, over the board my foot wangapi wanajua kuna mchele wa plastic Tanzania mpaka sasa?Elimu, elimu, elimu...kwa ukosefu wa elimu Watanzania wanaangamia. Clueless14, you may be clueless but this is over the board! Labda bado uko mwaka 47, pole sana!
Acha sayansi uchwara hapa!wewe unajua sayansi wewe?Ukinywa dawa inakuwa digested na enzymes gani?Ama ukameza big g inakuwa digested na enzymes gani?Ficha ujinga wako,hao wanaotengeneza hiyo mi compound wanakuzidi maarifa na akili!Ujinga tu huu..... Mtu anaejua digestion hawezi kusema Ujinga huu .yaani sisi enzymes za kudigest plastic?
Hivi kwa akili yako ya st kayumba,unadhani kila kitu lazima ukijue we we ndio kiwe kweli?Vitu vingapi huvijui na vipo nje ya ufahamu wako?Ndo hata sielewi wamefanyaje mpaka plastic inayotakiwa kuyeyuka ikawa mchele upikwe na uumuke?