Mchele wa plastic; Clouds Fm yaiumbua TFDA

wao wanaendeshwa na story za mtaani pasipo wao kufuatalia mwisho wa siku tunapewa habari nyepesi na zakishenzi kutoka kwenye media zetu.

lazima tulipe kodi
 
Ulishakaa chini ukatafakari na kujiuliza kwa nini mfuko wa plastic unaitwa RAMBO na siyo hayo majina uliyoyataja hapo juu??
 
TFDA, hujui walichokisema. Kama hawakuwa na taarifa walitakiwa wasiseme "hakuna mchele wa plastic". Huu ni upumbavue. Wamepewa kazi na wanalipwa kwa kuhakikisha usalama wa walaji. Hawapaswhi kukaa ofisini wakigonga mihuri bila kukakatia utafiti na uangalizi wa nini knaliwa na watu.

Ukisema hawajakutana nao, basi wafutwe kazi na hawana sababu ya kuendelea kulipwa kwa wala kupewe dhamana hiyo. Walipashwa wahakikishe wao ni wa mwanzo kukutana nao badala ya kula usingizi ofisini na hat wanapoambiwa wanasema "hatujakutana nao". Uwafuate walipokaa wakikioroma usinginzi?

Halloo, tena naomba unsinikumbushe uzembe ulioko serikalini. Kama hujui kufanya kazi kwa ubunifu unasubiri matatizo yatokee utolee tammko, bila shaka hata wewe hufai kufanya kazi. Naomba sana ubutu wa kichwa chako peleka mbali na macho yangu. Ninyi ndio mnaotuharibia nchi.

Ishia basi!

Mchele wa plastic maana yake ni plastic, ukichoma moto unaungua kama Plastic,Usiwalaumu TFDA, Kama hawajakutana nao hamuwezi kuwalazimisha, kinachotakiwa ni wananchi kushirikiana nao mara tunapoisi kuwepo kwa mchele huo.
 
Wakauchukue, waupime, halafu watuletee feed back.Wakikaa kimya tutajua nao ni magaragaja.Walikurupuka mno kutoa taarifa,wangefanya utafiti wa kina kwanza.Tumeshasema mara nyingi,no research no right to speak.
 
Mchele upo,mimi mwenyewe niliujaribu kwa njia hizo baada ya kupikwa kwangu.Wanihakikishie usalama nitawapeleka duka la mpemba anapouza au nitawanunulia kilo moja wale nao wadhurike.Wasikwepe wajibu wao
 
Tcra On Work
 
Tatizo kipimo kimekuwa too cheap yaani kuudundisha chini ukadunda kama kitenesi ndo kusema ni plastic, kwanini wasijaribu kuuchoma moto km utayeyuka na kuwa ujiuji hapo sawa. Hiyo ya kudundisha chini ni local sana
Sawa ni local ila ushawahi ona mchele ambao umepikwa alaf ukafinyanga tonge ukadundisha kwa chini ukaanza kuruka ruka kwa kawaida ubwabwa utanata kwenye sakafu
 
Tofauti kati ya plastic na lailoni ni nini
 
Ulimbukeni wa Watanzania utauweza basi...hiyo sijui chemical property ya wapi!!!

Kuna video clip imesambaa eti mashine zinafyatua mchele wa plastic, ilihali wenzao wanatengeneza plastic pellets kwa ajili ya utengenezaji wa bidhaa mbalimbali za plastics...
Kujua kitu ni plastic au sio plastic ni kudundisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…