Mchele unapogeuka pumba................

hahahhaha Ban mpaka kwa watoa thanks?! kweli sredi imo :D

Mie nilikuwa napita kuwasalimia tu.........labda Ban linaweza kunisamehe

hehe mwalim hii sredi ukichangia unatakiwa kuweka vidole hewani. sijui umeweka? na nakushauri hata thanks usigonge kwani nadhani mwisho wa hii sredi ni kupigwa ban hata waliogonga senks lol
 
movie limeishia pabaya sikupenda mwisho wake kiukweli ila itauza tu ktokana na waigizaji wake wamejitahidi kwa kiwango cha juu,ngoja nkatafute mchumba kuleeee:rain:

wapi twende wote kutafuta wachumba?:rain:
 
mhh nimerudi mbio,kameingia na manjonjo kumbe katoto ka shule kanamiaka 20,ngoja nisakanyue kingine kama ntapata kikongwe mwenzangu ntakujulisha na wewe,maana kizuri kula na wenzio kibaya tupia mbwa au sio shosti wangu:wink2:
 
hahahhaha Ban mpaka kwa watoa thanks?! kweli sredi imo :D

Mie nilikuwa napita kuwasalimia tu.........labda Ban linaweza kunisamehe
usipotee sana mwalim, si unaona wanafunzi wanamisbihevu? hawa wanafunzi wa kike nitawachapa kwa niaba yako
 
mhh nimerudi mbio,kameingia na manjonjo kumbe katoto ka shule kanamiaka 20,ngoja nisakanyue kingine kama ntapata kikongwe mwenzangu ntakujulisha na wewe,maana kizuri kula na wenzio kibaya tupia mbwa au sio shosti wangu:wink2:

mmmhhhh bora umerudi...miaka ishirini ni wa kukuchafua tu hata sabuni ya kuogea hawezi kupa...l.o.l....kweli dear,kitu kizuri kula na mwenzio,baya chakula ya mbwa....

The Following User Says Thank You to shosti For This Useful Post:

Michelle (Today)​
 
Klorokwini ushazijua zile za darasa la pili primary muhula mzima hamsomi kisa mwalimu kajifungua mtoto! hata mwalimu akirudi mshasahau hata kusoma vizuri.

Halafu wewe mbona hiyo ruhusa ishatoka zamani sana, lakini wasiwasi wangu utachapwa wewe...........au raha zaidi mkichapana :p

usipotee sana mwalim, si unaona wanafunzi wanamisbihevu? hawa wanafunzi wa kike nitawachapa kwa niaba yako
 
mmmhhhh bora umerudi...miaka ishirini ni wa kukuchafua tu hata sabuni ya kuogea hawezi kupa...l.o.l....kweli dear,kitu kizuri kula na mwenzio,baya chakula ya mbwa....

The Following User Says Thank You to shosti For This Useful Post:

Michelle (Today)​

hata uchakachuzi wenyewe kiwango lazma kiwe duni,heri nika:washing:
 
naondoka nikirudi muwe mmefika page ya kumi!

Usiondoke Shossi japo watu hatufahamiani ila amani ni jambo zuri sana,nadhani mngeombana misamaha kwa yaliyotokea na maisha yakaendelea jamani,naanza na mimi mwenyewe kama nimemkwaza yoyote naomba msamaha wa dhati sikumaanisha nikujikwaa kwa hapa na pale tu,nawapenda sana wapendwa wangu:wink2:
 
Klorokwini ushazijua zile za darasa la pili primary muhula mzima hamsomi kisa mwalimu kajifungua mtoto! hata mwalimu akirudi mshasahau hata kusoma vizuri.

Halafu wewe mbona hiyo ruhusa ishatoka zamani sana, lakini wasiwasi wangu utachapwa wewe...........au raha zaidi mkichapana :p
ha ha ha mwalim bana! nazikumbuka sana tu, mwalim anapewa ujauzito na mbeba zege halaf hasira zake anakwambia uandike jina la nchi ya czeckoslovakia ubaoni ,ukikosea spelling anakutemea mate. khaaa! na akijifungua mpaka akilejea anakuulizeni wanafunzi , tumefika wapi vile? kama hamjui anatoa mahasira yake ya breastfeeding kwako. dah! tumetoka mbali aisee
 
:A S 13::A S 13: kama wewe ndo product ya aina hii ya walimu,tangu leo sitakushangaa kwanini uko ulivyo.....you know what am saying.....l.o.l
 
ahahahha duh Klorokwini nilikumiss kweli! hahaahha @ anakutemea mate. Sipati picha kama anakula na udongo pia kisha anarusha mate! lolz

By the time anapata mtoto mbeba zege keshahama jimbo, lazima wanafnzi mumtambue.

yaani mwalimu haya maisha samtaimu unaona bora ungezaliwa libya tu. afazali siku hizi wameanza kujirekebisha baada ya kujiunga na facebook, nadhani hata udongo wameacha kutafuna.
 
:A S 13::A S 13: kama wewe ndo product ya aina hii ya walimu,tangu leo sitakushangaa kwanini uko ulivyo.....you know what am saying.....l.o.l
michelle najua unatafta njia ya kuniambia unanimind. nambie tu usimuonee aibu mwalim gaijin.
 
you are way too funny! @wamejiunga fb

Duh! mie namkumbuka mwalimu mmoja alikuwa na mtindi huo!duh! wanafunzi tukimuona hatumtizami usoni tunashangaa anwezaja kusimama sawa sawa bila ya mtindi kumvuta chini! hahaha kazi kweli kweli. Na yeye alikuwa full hasira.

Watoto wa siku hizi wanasoma academy walimu portable, wanaendesha gari!

yaani mwalimu haya maisha samtaimu unaona bora ungezaliwa libya tu. afazali siku hizi wameanza kujirekebisha baada ya kujiunga na facebook, nadhani hata udongo wameacha kutafuna.
 
you are way too funny! @wamejiunga fb

Duh! mie namkumbuka mwalimu mmoja alikuwa na mtindi huo!duh! wanafunzi tukimuona hatumtizami usoni tunashangaa anwezaja kusimama sawa sawa bila ya mtindi kumvuta chini! hahaha kazi kweli kweli. Na yeye alikuwa full hasira.

Watoto wa siku hizi wanasoma academy walimu portable, wanaendesha gari!

ha ha ha mwalim hapo red hapo dah! umenikumbusha mwalim mmoja alikuwa na mtindi wa haja, alikuwa akipita tunaigiza mtoto mchanga analia , akigeuka tunanyamaza kuna siku akakipa kazi kibaraka kimoja kichunguze nani anafanya huo mchezo . hehehehe yule spy alipeleka majina kinyemela namimi nikiwa mmoja katika list. khaaaaaa! mama alitoa hasira zake zote tangu alipokuwa sperm. na yule kibaraka mpaka leo hatukumjua nani, kama yupo hapa JF naomba aniPM
 
Back
Top Bottom