Originally Posted by Michelle hivi kuna wanawake wanajitongozesha kwa wanaume waliolegea?? wa nini sasa?? just thinking loud....l.o.l
Namsuhuru Mungu Kiswahili nakijua tena kiswahili hasa nimezaliwa mwambao wa pwani R siweki L na L siweki R. Naweza nikasoma maneno mawili tu nikajua mtu anaelekea wapi naweza nikakuchambulia tungo ya ubeti mmoja siku nne. Bahati yako Mwalimu Mrimi Mnandi amekufa ningekuambia umtafute halafu umuulize habari zangu kuhusu kiswahili angekuambia.................. kwahiyo chukua tahadhari na tuishi kwa amani.
mh heri yako unasim tank mie jirani zangu watalikojolea,basi naogopa kukaa karibu na vyakula vinavyokwama,usikimbie bwana movie itaisha vizuri tu:rain:
hehe mwalim hii sredi ukichangia unatakiwa kuweka vidole hewani. sijui umeweka? na nakushauri hata thanks usigonge kwani nadhani mwisho wa hii sredi ni kupigwa ban hata waliogonga senks lol
hehe mwalim hii sredi ukichangia unatakiwa kuweka vidole hewani. sijui umeweka? na nakushauri hata thanks usigonge kwani nadhani mwisho wa hii sredi ni kupigwa ban hata waliogonga senks lol
movie limeishia pabaya sikupenda mwisho wake kiukweli ila itauza tu ktokana na waigizaji wake wamejitahidi kwa kiwango cha juu,ngoja nkatafute mchumba kuleeee:rain:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.