nampa heko walioko huko front wanaiba kinoma kama tunaanza na huyu....tumalize na wote kina maige si waplileta ndege kabisa,,,,,hebu fikiri twiga alivyomrefu alishindiliwa kwenye ndege.....taachiwe huru tutafune nchi yetu hata kama wakiisha wote...ona mikataba mibovu madini....si sawa ha huyu mjeda aliyeua tembo...trafiki barabarani ni kama wangetolewa tu kwa ni nanai hataki usalama wake wapo na mkwanja wanapokea ajali kama kawa...usalama barabarani si sawa na huyu alieiba pembe za ndovu ndio maana jamaa katuliaaaa hana wasiwasi ni kama anawaza vile.......