Mchekeshaji Eric Omondi akamatwa

Ikaria

Member
Jul 17, 2019
71
195
Mchekeshaji maarufu nchini Kenya Eric Omondi amekamatwa dakika chache zilizopita kwa kosa la kusambaza 'maudhui chafu' kwenye mitandao ya kijamii.

Eric, ambaye awali, alikuwa amepewa onyo kali na Bodi ya kudhibiti filamu nchini Kenya KFCB anadaiwa kueneza tabia zisizo za kimaadili kupitia filamu inayojulikana kama 'Wife Material'

Eric anatarajiwa kufikishwa mahakamani hapo kesho.

20210311_170907.jpg
20210311_173311.jpg
 
Kajinga sana hata kakijana.
Mchekeshaji maarufu nchini Kenya Eric Omondi amekamatwa dakika chache zilizopita kwa kosa la kusambaza 'maudhui chafu' kwenye mitandao ya kijamii.

Eric, ambaye awali, alikuwa amepewa onyo kali na Bodi ya kudhibiti filamu nchini Kenya KFCB anadaiwa kueneza tabia zisizo za kimaadili kupitia filamu inayojulikana kama 'Wife Material'
Eric anatarajiwa kufikishwa mahakamani hapo kesho.
 
Comedian maarufu kutoka jiran , Eric omondi, amejikuta akiingia kwenye mikono ya Sheria baada ya kipindi chake maarufu cha “WIFE MATERIAL “ kudaiwa kukiuka maadili y kijamii ndani ya nchi hiyo . Either kipindi hicho kimekua kikirusha maudhui ya kiutu uzima na lugha Za matusi kwa baadhi ya washikiri especially Gigy money kutoka Tanzania

Gigy money akiwa mmoja ya contestants wa kipindi hicho ameonekana pia mara kwa mara akifanya fujo na kugombana na washiriki wenzie kutoka Kenya na uganda hali iliyopelekea gigy na wenzake waliofanya fujo kulala ndan usiku wa kuamkia Jana
IMG_1284.jpg

Ila wakati naangalia kipindi ile first episode venye gigy anajifanya kapinda mara anaongea broken English with Nigerian accent yani had nikawa naona aibu , halafu wakenya na waganda wakawa wanamwangalia tu kwa dharau na kumuona hajielewi. Ila ki ukweli out of all contestants wa wife material second season kutoka Tanzania Gigy is a SHAME kwa kweli, anajifanya mcharuko halafu kichwan hakuna kitu .

Au Alikua anataka kujifananisha na shakila? Shakilla alikua ni mwendawazimu but ako smart kichwan , very intelligent ni madharau tu ako nayo, sasa gigy ako na madharau halafu kichwan zero , ameenda kutuabisha tu huko mxieew
 
Comedian maarufu kutoka jiran , Eric omondi, amejikuta akiingia kwenye mikono ya Sheria baada ya kipindi chake maarufu cha “WIFE MATERIAL “ kudaiwa kukiuka maadili y kijamii ndani ya nchi hiyo . Either kipindi hicho kimekua kikirusha maudhui ya kiutu uzima na lugha Za matusi kwa baadhi ya washikiri especially Gigy money kutoka Tanzania

Gigy money akiwa mmoja ya contestants wa kipindi hicho ameonekana pia mara kwa mara akifanya fujo na kugombana na washiriki wenzie kutoka Kenya na uganda hali iliyopelekea gigy na wenzake waliofanya fujo kulala ndan usiku wa kuamkia Jana View attachment 1722908

Ila wakati naangalia kipindi ile first episode venye gigy anajifanya kapinda mara anaongea broken English with Nigerian accent yani had nikawa naona aibu , halafu wakenya na waganda wakawa wanamwangalia tu kwa dharau na kumuona hajielewi. Ila ki ukweli out of all contestants wa wife material second season kutoka Tanzania Gigy is a SHAME kwa kweli, anajifanya mcharuko halafu kichwan hakuna kitu .

Au Alikua anataka kujifananisha na shakila? Shakilla alikua ni mwendawazimu but ako smart kichwan , very intelligent ni madharau tu ako nayo, sasa gigy ako na madharau halafu kichwan zero , ameenda kutuabisha tu huko mxieew
usipende kuwaamini wasanii inawezekana hta vile vituko vya gigy vilipangwa coz kila alichofanya kinarikodiwa inamaana kuna mtu alikuwa na kazi ya kuchukua yale matukio na gigy ndio scene zake hizo za ukolofi
 
The whole show was staged tunajua but this scandal ya polis ni kweli , kote wanavyopigana n so so is well choreographed n scripted tunajua but ishu imefikia pabaya Coz of nudity n lugha chafu za Matusi
 
Kina kipindi alimwiga mweshimiwa
Kwenye how to be Kama sijakosea
Ni mjinga sana huyu mkenya
 
Back
Top Bottom