Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member Nov 6, 2010 1,757 437 Oct 7, 2011 #1 Idara ya habari Tanzania na wao yamewakuta kwa kutupiwa vyombo na thamani zao nje na shirika la nyumba kwa kushindwa kulipa kodi ya pango.
Idara ya habari Tanzania na wao yamewakuta kwa kutupiwa vyombo na thamani zao nje na shirika la nyumba kwa kushindwa kulipa kodi ya pango.
Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member Nov 6, 2010 1,757 437 Oct 7, 2011 Thread starter #2 Ofisi hizo za habari ndio kijiwe cha waandishi wa habari hapa bongo.Ndo wanaofanya promo za SHIRIKA LA NYUMBA JUU YA WADAIWA SUGU KUMBE NAO WANADAIWAI.
Ofisi hizo za habari ndio kijiwe cha waandishi wa habari hapa bongo.Ndo wanaofanya promo za SHIRIKA LA NYUMBA JUU YA WADAIWA SUGU KUMBE NAO WANADAIWAI.
Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member Nov 6, 2010 1,757 437 Oct 7, 2011 Thread starter #3 Natumaini hoja hiii wanahabari waliomo humu amjaitoa kwa sababu hinawagusa kwa sababu kijiwe chenu cha kupiga story thamani zimetupwa nje
Natumaini hoja hiii wanahabari waliomo humu amjaitoa kwa sababu hinawagusa kwa sababu kijiwe chenu cha kupiga story thamani zimetupwa nje
JS JF-Expert Member Sep 29, 2009 2,064 499 Oct 7, 2011 #5 NHC hawana utani na watu siku hizi....ndo hivyo inapaswa iwe.
Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member Nov 6, 2010 1,757 437 Oct 7, 2011 Thread starter #6 JS said: NHC hawana utani na watu siku hizi....ndo hivyo inapaswa iwe. Click to expand... Tatizo la waandishi wa habari kufanya promo za makampuni waliwacheka WIZARA YA KILIMO SASA WIZARA HABARI NA MICHEZO
JS said: NHC hawana utani na watu siku hizi....ndo hivyo inapaswa iwe. Click to expand... Tatizo la waandishi wa habari kufanya promo za makampuni waliwacheka WIZARA YA KILIMO SASA WIZARA HABARI NA MICHEZO
Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member Nov 6, 2010 1,757 437 Oct 7, 2011 Thread starter #7 Hivi ni kweli wamenunua TV za sh 6,000,000 unashindwa kulipa kodi ya nyumba tena shirka la nyumba
Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member Nov 6, 2010 1,757 437 Oct 7, 2011 Thread starter #8 najuwa wanahabari nimewagusa tutegemee kesho handing za magazeti juu ya hilo
Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member Nov 6, 2010 1,757 437 Oct 8, 2011 Thread starter #9 Najua kijiwe chenu wanahabari