Mcheka uchekwa,yamewakuta wao

Mzee Wa Rubisi

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,758
437
Idara ya habari Tanzania na wao yamewakuta kwa kutupiwa vyombo na thamani zao nje na shirika la nyumba kwa kushindwa kulipa kodi ya pango.
 
Ofisi hizo za habari ndio kijiwe cha waandishi wa habari hapa bongo.Ndo wanaofanya promo za SHIRIKA LA NYUMBA JUU YA WADAIWA SUGU KUMBE NAO WANADAIWAI.
 
Natumaini hoja hiii wanahabari waliomo humu amjaitoa kwa sababu hinawagusa kwa sababu kijiwe chenu cha kupiga story thamani zimetupwa nje
 
NHC hawana utani na watu siku hizi....ndo hivyo inapaswa iwe.
 
Hivi ni kweli wamenunua TV za sh 6,000,000 unashindwa kulipa kodi ya nyumba tena shirka la nyumba
 
najuwa wanahabari nimewagusa tutegemee kesho handing za magazeti juu ya hilo
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom