cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 500
yaani hapo ndio basi kabisa. Mnavyonitisha badala yakunipa solution sipati picha.
Umalaya!! wakat ye anasema akishamfunua 2 anakua hana hamu nae tena "Anamfunua 2 wala hali 2ndi"
mwanzo niliposoma maelezo yako,nilidhani unahitaji kweli msaada.lakini niliposoma comment zako,naona kama unaona sifa kwa unayoyafanya.wewe endelea kufanya tu,ipo siku utakuja juta.au maybe hujapata unaempenda na hata siku utakayompata,itakuwa too late
Jamani mi najishangaa sijui nimerogwa yaani nikishamfunua tu msichana mara moja hata kama ni mrembo vipi sitamani hata kurudia tena hadi nipate mwingine nakuwa namuona kero nnachojali ni mahitaji yake yakimatumizi tu. Nashindwa kujielewa kabisa kuwa ninatatizo gani?
utakufa na ukimwi ww??
unadhani ni sifa??
jamani kwa jinsi jamaa alivyo jieleza ni kwamba ana tatizo...so kama wewe ni mlokole muombee hapo ulipo pepo atoke
maana nimewaacha warembo wengi na walikuwa bado wananipa nafasi kubwa mioyoni mwao.
mwenzio anazungumzia akiwafunua wanawake! na wewe unawafunua nani? hehehe naomba kaufafanuzi kidogonami nna katatizo kama kako,ila mie siwafunui wala hawanifunui nkishaongea nao tu hamu nao inakatika nasubiria mautatuziyako yatanisaidia namie...
mwenzio anazungumzia akiwafunua wanawake! na wewe unawafunua nani? hehehe naomba kaufafanuzi kidogo
kafafanue zaidi kaugonjwa basi nikaelewe, nisje nikatoa dozi isiotakiwa. konsida your problem solvedHaahahahahahah kloro bwana hebu mwaga maushauri hapo nami nifaidike na kaugonjwa kangu:help:
kafafanue zaidi kaugonjwa basi nikaelewe, nisje nikatoa dozi isiotakiwa. konsida your problem solved