Mchawi wa CHADEMA

shida ni wanoko wanataka kuua tone tone wameona inaivusha CHADEMA. aisee hawataweza someni mazingira ya kisiasa na mwelekeo wa wananchi. Chadema ni IMANI
 
Taarifa za fedha zinafanyikia humu mitandaoni ama katika vikao rasmi vya chama? Cdm inafanya biashara gani, ama inapata ruzuku kiasi gani hadi hao wahuni mnaowatuma wahoji matumizi ya pesa? Hao wanaohoji taarifa za fedha huku mitandaoni, wameweka ushahidi huku mitandaoni ni kiasi gani cha fedha wameingiza kwenye chama na hawazioni?
 
Sawa, hivi ni lini ulikemea matusi na shari zingine?!!! Mi pia nipo na watanzania wapenda amani, maendeleo na maelewano.
Matusi hayaui NI tabia tu ambayo Haina hasala kwa taitlfa je ufisadi wa aliasili zetu waweza lingana na matusi?
 
Kuna chama kina ushenzi nchi hii kama CCM? Si ni vile wana huruma ya dola ndio maana hadi leo bado wapo?
 
Katiba ya CDM unaijua isemavyo kuhusu njia na taratibu za kuhoji?
 
Mlichukua pesa za abduli mkitegemea mtaangaliwa kwakisa mlichoandika
 
Una uthibitisho kuwa hilo huwa halifanyiki au unataka na wewe wawe wana ku Cc kama nani!???
 
 
Samia anapaswa kupunguza dozi Ili nyumbu wapumie kidogo maana haikuonekana hata pua 1 ya nyumbu kwenye maandamano ya 7/7
Ubwege NI kuzani 77 chadema ndio waliandamana kwa tarifa yako 77 waliandamanishwa mapunguani bila hata kujua Nini kinawaandamanisha .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…