Mchawi wa CHADEMA huyu hapa

zito ni msaliti wa CDM, ataula wa chuya
 
Wewe ukiulizwa toa Jibu! Kusoma hayo mawazo mgando hayasaidii kitu! Kwasababu unafanya kz kubwa kueneza propaganda kitu ambacho Unajua wazi kua ni uongo!

Ukweli unaoufahamu ni upi? Na uongo unaoufahamu wangu ni upi? alafu nilichokiandika hakihusiani na propaganda ni ushauri wa sehemu ya taaluma ya Uongozi kwa kadiri ya uelewa wangu.....
 
Matatizo yako huyaoni utayaonaje ya wenzio, kama umeyaona yatatue sasa, unafikili ni kazi rahisi kumnunua Dr Slaa na Mbowe, ngumu sana, mlifanikiwa kwa hao wenyeviti na makatibu wakuu wa vyama vingine, tumegundua uongozi wa juu ni kiboko, hatubadili ng'o.
 
Mwanzo wa mwisho sikujua kama utafika mapema hivi, yàani katika kundi zima la CDM wote hawana macho ya kuona kwamba wanaua upinzani wao wenyewe. Bakini na ZZK ili mbaki na CDM yeye nguvu lakini mkitaka kuwapa faida wengine jaribuni muone.
 
Ukweli unaoufahamu ni upi? Na uongo unaoufahamu wangu ni upi? alafu nilichokiandika hakihusiani na propaganda ni ushauri wa sehemu ya taaluma ya Uongozi kwa kadiri ya uelewa wangu.....

Km ni ushauri unatoa, ungesapoti hoja ya Funza?
 
Nashukulu kwa kunirekebishia kiswahili mkuu....!!!! common error ni jambo la kawaida katika uandishi.... hata hivyo nikiri kuwa kwetu herufi "R" ni tatizo...... pamoja na hayo bado una matatizo ya kukariri mpaka sasa unaamini kuwa kila anayeandika humu JF ni muha au kibaraka wa ZZK..... kwa hilo umechemsha....!!! kwa kukusaidia tu, sina mahusiano yeyote na ZZK na wala mimi si Muha kama unavyodhani.....
 
Ccm na serikali yake ndo wanahusika kwa asilimia 100
ndo maana usiku ba mchana wako busy na mikakati dhaifu ya kuhonga kina zito ili kuvuruga chama. Chadema wana plan b
 
Mwanzo wa mwisho sikujua kama utafika mapema hivi, yàani katika kundi zima la CDM wote hawana macho ya kuona kwamba wanaua upinzani wao wenyewe. Bakini na ZZK ili mbaki na CDM yeye nguvu lakini mkitaka kuwapa faida wengine jaribuni muone.

Unayajua mazara ya mwanamke akitoa mimba Alafu ikagoma kutoka? Ukumbuke CCJ
 
Kama kuna nchi duniani yenye watu wengi hasa vijana wasiofikiri ni Tanzania. Ikumbukwe kuwa kama hufikiri basi ww ni mfu.
 
inawezekana uko sahihi ila hakuna aliyetangaza dau la kuwanunua.....!!! Hoja ni kujadili na kurekebisha makosa yaliyojitokeza ili yasijirudie tena..... hakuna mtu asiye na makosa... ukikubali udhaifu wako kama Kiongozi na kuyafanyia marekebisho ndiyo mwanzo wa kuendelea mbele.... tatizo ninaloliona ni ushabiki hakuna aliye tayari kuongelea udhaifu wa Viongozi ndani ya CDM.... tuwasaidie Viongozi wetu kwa kuwashauri wanapopotoka kuwaweka kwenye mstari..... kimsingi hoja za pande zote zina mashiko ila ni suala la kukaa na kuyajadili na si kukomoana na kudhalilishana kama CDM ilivyotaka kumdhalilisha ZZK kwa kumhukumu bila kusikiliza rufaa yake..... jambo ambalo lingetoa nafasi kwa wanachama kujifunza kitu kutoka kwake...... Na tatizo lingine ni kuona kuwa kuna watu wana haki ya kusema na kusikilizwa ndani ya chama kuliko wengine huu ni upuuzi na ni kinyume cha katiba ya chama.....
 
Nahisi kama ndo unaamka vile...... kapige mshwaki kwanza....

Leo unapewa shilingi ngapi ?

Maana hii issue ya ZZK itawatajirisha vijana wa Lumumba
 
Kama kuna nchi duniani yenye watu wengi hasa vijana wasiofikiri ni Tanzania. Ikumbukwe kuwa kama hufikiri basi ww ni mfu.

You are right.......!!
 
Mkuu maneno yako yanaumiza sana. Na kwahakika hii dhambi itawahukumu wasaliti wote hadi mwisho wa uhai wao!
 
Ccm na serikali yake ndo wanahusika kwa asilimia 100
ndo maana usiku ba mchana wako busy na mikakati dhaifu ya kuhonga kina zito ili kuvuruga chama. Chadema wana plan b

kwani walioleta fujo mahakamni ni akina nani?
 
Hayo ni maneno tu.... hata kwenye kanga yapo.... ukweli utabaki kuwa ukweli na Zitto kashinda kesi....!!!!
Atambue kwamba cdm akimuhitaji kwa sasa. Akatafute chama kingine au atengengenze chama chake akiue yeye mwenyewe.
 
Kuna tatizo kubwa Chadema, weledi umeenda safari, weledi utakaporudi utakuta chama kiko chali. Sasa angalia wapenzi wa Mbowe na Hoja zao very low. CC ya chama ndio utafikiri walilewa kwanza ndio wakaingia kwenye kikao.

Hakuna mtu mwenye uelewa wa kawaida tu anaweza kukubali mashtaka ya uongo na ya kutunga kama haya. Naamini hata akina Dr. Kitila na Mwigamba wakienda mahakamani watashinda pasi na shaka.

Wanashabikia dhuluma chama kinaanguka. Mbowe na Dr. Slaa wanakiua chama mchanamchana sijui ----------!
 
kwan zito akibaki kuwa mwanachama wa chadema na mbunge wa chadema kuna tatizo gani.......kauli zenu za zito kashinda na uongoz umeshindwa hazina mantiki ...kwan kulikua na mashindano gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…