Mchawi wa CHADEMA huyu hapa

Ruzuku na pesa za misaada kuishia Makao makuu hazifiki kwenye Mashina Viti maalum uteuzi wake hauzingatii vigezo Ukabila Ukanda M/kiti kujilipa Madeni kiaina kwa Pesa za Chama huku akijilusha kimapenzi na baadhi ya Wabunge Wa kike na Vioja vinginevyo Vingi sana ! Sasa ukitaka Moto ukuunguze jaribu kuhoji Haya ! hata Marehemu Chacha Wangwe alipoanza kuhoji Haya ndipo alipoundiwa Zengwe Siri zote anazo Mungu Pia Deus Malya .R.I.P chacha wangwe Mzimu wake umebisha hodi kivingine kwani Yale yote aliyokuwa akiyapinga bado yapo na Hakuna Mtu anayethubutu kuyahoji ! Ukithubutu tu unavuliwa uanachama kwa kisingizio cha usariti hata Kama wewe si Msariti utaundiwa
 
Ruzuku na pesa za misaada kuishia Makao makuu hazifiki kwenye Mashina Viti maalum uteuzi wake hauzingatii vigezo Ukabila Ukanda M/kiti kujilipa Madeni kiaina kwa Pesa za Chama huku akijilusha kimapenzi na baadhi ya Wabunge Wa kike na Vioja vinginevyo Vingi sana ! Sasa ukitaka Moto ukuunguze jaribu kuhoji Haya ! hata Marehemu Chacha Wangwe alipoanza kuhoji Haya ndipo alipoundiwa Zengwe Siri zote anazo Mungu Pia Deus Malya .R.I.P chacha wangwe Mzimu wake umebisha hodi kivingine kwani Yale yote aliyokuwa akiyapinga bado yapo na Hakuna Mtu anayethubutu kuyahoji ! Ukithubutu tu unavuliwa uanachama kwa kisingizio cha usariti hata Kama wewe si Msariti utaundiwa Zengwe la kijanja hadi waumini wa M/kiti wakuone ni Msariti kiufupi wana mbinu za kuwalisha maneno mashabiki wao mpaka wanasahau mapungufu Yao na kuwashambulia wengine kwa kigezo cha Usariti
 
Chezea Mzimu wa chacha Wangwe wewe..,
 
CDM haiwezi kufa......!! itadumu ila unasahau kuwa NCCR na CUF zilikuwa maarufu sana kabla ya CDM...


Km Cuf na NCCR vilikua maarufu unataka kuniambia nini?
 
Zitto kadanganywa na kadanganyika kwisha.
 
Kuna kipindi M/kiti alijaribu kubalance Ukabila akamleta kijana toka Tarime na kumweka pale makao makuu Kama Msaidizi wake Lakini kwa kutojua Yule kijana akaandika kitabu cha kumbukumbu cha Maisha ya Chacha Wangwe kimya kimya pasipo kujua kuwa Mkiti Kuwa hapendi Msaidizi wake amkumbuke Chacha Wangwe yule kijana Siku alipotaka kukizindua kitabu tu M/kiti akajua ni Siku hiyo hiyo akamfukuza toka makao makuu na kupata Misuko suko ambayo haifai kuhadithia kwani hadi lap top yake iliporwa huyo kijana amehamia NCCR ukitaka akupe story nenda pale NCCR muulizie Yule kijana aliyetunga kitabu cha Maisha ya Chacha Wangwe watakuonyesha muulize maswali yote utapata jawabu.
 
Chezea Mzimu wa Chacha wangwe wewe...
 
Km Cuf na NCCR vilikua maarufu unataka kuniambia nini?

Migogoro ndiyo imevifanya vipoteze mvuto kwa watanzania ambao wengi wao walihamia CDM na vyama vingine.....
 


Usimumunye maneno! Sema unachotaka kusema!
 
Migogoro ndiyo imevifanya vipoteze mvuto kwa wtanzania ambao wengi wao walihamia CDM na vyama vingine.....



Hiyo migogoro chanzo chake ni nini?
 
Viko wapi visu vya Cuf alivyovitangaza Mahita? Au hiyo ndio migogoro?
 
Viko wapi visu vya Cuf alivyovitangaza Mahita? Au hiyo ndio migogoro?

Ni vigumu kuelewa..... inaonekana uko mbali na ulimwengu, unasema nini kuhusiana na yaliyotokea mahakamani J3 na J4? Na kuhusu M/Kiti wa CDM Temeke amejeruhiwa kwa mkono na Polisi au ni Wanachama wa CDM?
 
Umeona eeh....

Mwambie aseme wazi na si kumumunya maneno!

Mwenzake alisema Chacha died, I won't.

Sasa kuishia kusapotiana bila kusema ni sawa na kupiga HADITHI watoto kitandani wakingoja usingizi walale!
 
kukalili siyo kujifunza.....!!! Kujifunza ni kuelewa.... rudi darasani!!! Au soma vizuri katiba ya Nchi na ya CDM utapata ukweli... Acha kukalili.

Wewe umejifunzia wapi ukaelewa Bro? ....Hata maneno ya kiswahili umeshindwa kuyaandika kwa ufasaha halafu unawaambia wenzio "wakasome waelewe" na si "kukariri"!!???...Hata hiki ulicho post nina mashaka nacho kuwa umetumwa tu maskini hata hujui ufanyalo na usemalo!! Hebu tuambie hicho ni kiswahili au Kiha cha Kigoma?....Tatizo lenu mnasheherekea ushindi wa huyo ZZK mpaka mnavua na nguo za ufahamu wa akili zenu!!

Unapotumwa na kuambiwa kitu au jambo na mtu basi jaribu kuchanganya na za kwako humo......................................................chako!!

Kwa heri,siku njema endelea kusheherekea ushindi wa ZZK ndugu!!
 
Inaonekana ulikomenti bila kusoma post..... Soma kwanza na uilewe alafu tupia mawazo yako humu....

Wewe ukiulizwa toa Jibu! Kusoma hayo mawazo mgando hayasaidii kitu! Kwasababu unafanya kz kubwa kueneza propaganda kitu ambacho Unajua wazi kua ni uongo!
 
Zitto ana ushawishi gani zaidi ya maji-taka?

ipo siku utaufahamu umuhimu na ushawishi wa ZZK siyo sasa..... kipindi chama kitakapokuwa kimepoteza mwelekeo na si muda mrefu.... labda tu hali hiyo CDM wainusuru kwa kutomfukuza uanachama ZZK..... "Maumivu ya kidonda cha mtu ayajua mwenye nacho..."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…